Wanaume waliosoma seminari

Wanaume waliosoma seminari

Afuu pia most ex seminarians huwa wanapata hard time sana katika kupata soulmates....especially wives mtuturas
 
watu wa seminari mara nyingi huwaga hawayumbishwi bwana halaf huwaga wana roho ngumu sana yan akisema no ni no.. huko mapenzini kwa kweli sinauhakika nako
 
Waseminari ni waungwana kwasababu wamesoma falsafa na sakilogia ni wepesi kutambua mahitaji ya mwanamke. Lakini maisha ya seminary yanawafunisha kuwa wavumilivu kwahiyo wanaweza kuvumilia mapungufu ya wenzi wao. Pia wana hofu ya Mungu ambayo inawafanya wawe na hulka ya kuwathamini binadamu wenzao
 
Hapa leo sichangii pamekaa kichokozi sana!
Mdada anayetaka kutuelewa xseminarian njoo ufanye practical kwangu.
 
We have something unique in us na very intelligent.

Asilimia kubwa ya majaji, advocates, na mahakimu utoka uko....na kwa tiss wanawachukua wengi uko....viongozi wengi wa taifa ili ukifuatilia utakuta wametoka uko. Mind u, kuna Islamic na Christian seminaries ...mm nmezikombaini apo✅
 
Waseminari ni waadilifu hulka ambayo watu wengi hapa Tanzania ni msamiati uliokufa. Ni wanyenyekevu hulka inayowafanya waweze kusikiliza wengine. Ni wachapa kazi hodari na viongozi mathubuti wasiotetereka kwenye maamuzi yao
 
Mia mbona sio play boy, nina kabinti kangu nako kamesoma seminary mwaka wa 7 sasa tupo pamoja afu ndo hata sifikirii kukaacha cz wote tuna hofu ya mungu.....
 
Kwa ufupi watu hawa ku_establish eye contact na jinsia nyingine kwao ni mwiko sasa matokeo yake anayejirahisha kwao ni advantage ( Unaliwa hivyo hivyo hata kama uko MP[emoji23][emoji23])
 
Naomba kuuliza jamani, hivi wanaume waliosoma seminari wanasifa zipi na hasa inapokuja suala la wao kuwa baba ktk familia. Nimewahi msikia mtu mmoja akimwambia mwanamke aliye olewa na kijana aliyewahi soma shule za seminari kuwa amshikilie sana, sasa sikuelewa. Hivi hawa vijana wanasifa zipi hasa...?
Katiba wote wameshalawitiana.
 
Kwa wanawake walioolewa Na waseminary ni kicheko. Tabia zao ni trustful, hawajui kuacha SBB ni kuwa wazito kutongoza Na kuanza Mahusiano mapya. Yuko tayari afanye chochote kile lkn usimwache. Kifanyacho hicho ni malezi, lkn wanajari familia mno.

= wanajali

Hivi hizo seminari mlienda kusomea ujinga?
 
Naomba kuuliza jamani, hivi wanaume waliosoma seminari wanasifa zipi na hasa inapokuja suala la wao kuwa baba ktk familia. Nimewahi msikia mtu mmoja akimwambia mwanamke aliye olewa na kijana aliyewahi soma shule za seminari kuwa amshikilie sana, sasa sikuelewa. Hivi hawa vijana wanasifa zipi hasa...?
sis waseminari tuko poa sana, hasa za kikatoliliki hatujuagi mambo mengi tukishaoa maisha yanendelea , mi mmoja wapo mke wangu ana raha sana.
 
Mleta maada kauliza swali kwa tecnic, Sasa wale wazee wa POVU, watakuja humu watajitaja wenyewe bila kujua wanetegwa, na hapo ndo itatusaidia kujua tofaut ya waseminari na wasio waseminary Bila kutumia nguvu. Mleta mada Big up , japo naona km swali lako lina kila element za uchochezi. NDI
 
Wajinga wajinga hivi yaan hawana mvuto wa kimapenzi ila wanamvuto wa kuwa baba bora
 
Back
Top Bottom