Wanaume waliosoma seminari

Wanaume waliosoma seminari

Nachojua mimi ni wapiga punyeto wa kutupwa.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Lakn hebu tusiangalie seminary tuu kwaiyo unataka kuniambia asilimia kubwa wanaofanya vizuri wanatoka seminary?
 
Vingine ni kuumbwa navyo sio lazima seminary ndugu zangu think broad brotherz wengine wanAweza kufanya vizuri sana kwenye jamii kupita hata hao walioenda seminary.ni neema tuu ya mungu.
 
Waseminari ni waungwana kwasababu wamesoma falsafa na sakilogia ni wepesi kutambua mahitaji ya mwanamke. Lakini maisha ya seminary yanawafunisha kuwa wavumilivu kwahiyo wanaweza kuvumilia mapungufu ya wenzi wao. Pia wana hofu ya Mungu ambayo inawafanya wawe na hulka ya kuwathamini binadamu wenzao

Hahahaha umesema kweli ht waubani ni mseminary pure tena wale wazamani walionzia shule ya msingi[emoji3][emoji3]
 
ex-seminarians can live anywhere with any kind of a person without problems..of coz they are z most smart people in everything..i recommend to take ur boys to seminary schools
 
Ulisoma seminari nini!!
Nimewakumbuka tu nzi.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unakimbilia wapi sasa.... sina mpango hata wa kukupiga maana ukishikwa kelele hazikuishi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwakweli bora tu ulikimbia maana!!!
Nilishindwa zile sala za asubuhi.. form two nikapotea nikaingia kayumba..


Mbona unacheka shemeji?
 
Nilishindwa zile sala za asubuhi.. form two nikapotea nikaingia kayumba..


Mbona unacheka shemeji?
Kaka nimefurahi tu.
Hivi ni sala tu za asubuhi ndio ulikimbia!!
 
Kaka nimefurahi tu.
Hivi ni sala tu za asubuhi ndio ulikimbia!!
Mambo kibao... seminar kwa sisi watoto tuliokulia mitaani nipagumu saana. Utahisi unaonewa kila siku.

Kwasasa umeamua kaka... teh haya.
 
Back
Top Bottom