Wanaume wambea wanazidi kuongezeka kwa kasi ya 5G

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
" Mtu anae badili dini huwa mkali zaidi ya wenye dini yao"🤣🤣🤣 hii ni kweli kabisa mkuu.

In addition to that, usiombee KUKUTANA na mbea mwanaume. Bora ufanyiwe Umbeya na wanawake ishirini kuliko mwanaume mmoja.

Last week mtaani kwetu kuna jamaa kafukuzwa mtaani. Ni hivi kuna jamaa.single father anaishi na watoto wake wa kike watatu chumba na sebule. Jamaa kaenda kusambaza Umbeya mtaani eti jamaa ana wakula watoto wake. Ishu ikaenea mtaani then wahusika wakaitwa kwa.mjumbe baadae akatafutwa msambaza Umbeya ambae kumbe ni mpangaji Mwenza.

Uongozi wa mtaa uliamua kumfukuza mtaani kwa usalama wake kwa sababu raia walitaka kumshughulikia plus watu mtaani wamesha choshwa na tabia yake ameanza muda mrefu.

Huyo mpangaji alikua na wiki moja tangu ahamie kwenye hiyo nyumba. Mbeya alijua ni mgeni kumbe mzawa sema alikuwa anaishi upande wa pili wa mtaa huo huo n.a. mtaa mzima unajua jinsi alivyo pambana na watoto wake tangia wakiwa wadogo baada ya mama yao kufariki.

Hao watoto wa kike wote wanasoma sekondari
 
Uongozi wa mtaa uliamua kumfukuza mtaani kwa usalama wake kwa sababu raia walitaka kumshughulikia plus watu mtaani wamesha choshwa na tabia yake ameanza muda mrefu.[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umbea unalipa mange kanunua g wagon latest kwa mshahara wa umbea .ni iyo tu basi saivi kila mtu kashajanjaruka so umbea sio fursa tena ila ningeshtuka mapema miaka ya 2010 saivi ningekua na ghorofa yangu kali pale mbweni na range spot yangu moja kali
 
Hii boy child Campaign ni vema ikadhaminiwa na waafrika wenyewe wazungu ni washenzi na hawaaminiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu 😁😁
Kuna zile kampeni zinazoendeshwa haswa siku ya baba duniani mfano mshua masta ya Efm lakini pia kuna male conferences zimeanza. Mara nyingi nikiwa twitter huwa naziona, japo zimeanza kwa udogo lakini huko mbeleni itakuwa kitu kikubwa
 
Nadhani jando na unyago katika uhalisia wake ndio penyewe ..! Hao kina EFM sidhani kama wanafanya katika usahihi wake... LIKUD kuna post yake kazungumzia umuhimu wa shule zisizo na hadhi ziitwazo saint Kayumba.. Kuna mafundisho mengi kule nje ya darasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu,jando labda ulilinganishe na jkt Ila sio watu wamekaa kwenye viti wanashea mawazo Ila kwa kuzungumza. Inaweza kusaidia kuboresha hali halisi

By the way, nimesoma hizo shule na kama mtoto unamuona kiakili anahitaji boost, usisumbuke kumpeleka maana utampoteza tu
 
Hatimae umeamua kuwasemea haleluyaaa!!
Wanaume wanaongoza kwa umbea now days.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…