Wanaume wambea wanazidi kuongezeka kwa kasi ya 5G

Hayo ni matokeo ya Single mother , watoto wa Single mother wameshakuwa wakubwa wapo kila kona sasa. Tuache vijana wakatae ndoa tu.
 
Ukiona mwanaume au kijana wa kiume hana kazi yakumuingizia kipato halafu analewa au yupo maeneo ya starehe jua kwa 100% ni mmbea.

Ukiona mwanaume au kijana wa kiume anakupiga mzinga wa jero, buku au khaki jua kwa 100% ni mmbea.

Ukiona mwanaume au kijana wa kiume anatabia ya kusifia sifia wanaume wenzake mara, tajirii, bosii, don, minor na maneno kama hayo jua kwa 100% ni mmbea.

Ukimuona mwanaume au kijana wa kiume wa sampuli hiyo mkwepe kwa kadiri ya uwezo wako.
 
Ukimuona mwanaume au kijana wa kiume wa sampuli hiyo mkwepe kwa kadiri ya uwezo wako.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndo Lucas mwashambwa?View attachment 2768638
Kama kizazi cha sasa ndio kingekuwa na nguvu wakati wa kutafuta uhuru ni dhahiri kabisa kuwa Mkoloni bado angeendelea kutawala.Tuna shida kubwa sana ya Mindset na thamani ya maisha ya Nchi yetu ya kesho, tumbo na kupigiwa makofi vimekuwa kipaumbele kuliko hata uhai wa mtu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watulikuwa mashabiki wakubwa wa Warumi, mliitana naye majina ya heshima kama Binamu nk. Hata alipofariki mlionesha hisia kali za masikitiko.

Leo mnakemea umbea!
 
Duuh
 
Kuna mbegu za uchawa zimemwagwa na MCC

Uchawa hauna utofaut na u mbeya , now days vjn wengi wanajishughulisha na uchawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…