Habari wana jamvi,
Nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kwa mashosti eti utakuta mwanaume anamtokea msichana na kumuimbisha sana, mimi nakupenda zinakuwa nyingi, lakini mkishapewa mara moja ndo mnaanza visa, mara nina kazi nyingi nimebanwa, kabla ya kupewa muda ulikuwa mwingi tu wa kuwatafuta lakini ukishampata ndo visingizio vinaanza. Mimi nina saloon na grocery huko ndio huwa wadada wakija kutengeneza nywele au tukiwa tunapata moja moto moja baridi mashosti wanalalamika sana kuhusu hilo. Eti tunaomba mtuambie mmekuaje?
...Wawanyime wakati na wao wanavitanamani na kuvimi-miso kabisa???:lol::lol:...sasa na nyie, si muwanyime basi?
Wewew mtu akikwambia anakupenda ndy anakuoa? Kama ni kufurahishana tu basi haina haja kumfuatafuata na Kumpiga VIBOMU!! Tabu kubwa ni kuombaomba pesa wakati hauuzi!!
Inawezekana hamuwapi vizuri/hammeet expectation zao. Wape yote muone kama watakimbia!!:smile-big:Habari wana jamvi,
Nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kwa mashosti eti utakuta mwanaume anamtokea msichana na kumuimbisha sana, mimi nakupenda zinakuwa nyingi, lakini mkishapewa mara moja ndo mnaanza visa, mara nina kazi nyingi nimebanwa, kabla ya kupewa muda ulikuwa mwingi tu wa kuwatafuta lakini ukishampata ndo visingizio vinaanza. Mimi nina saloon na grocery huko ndio huwa wadada wakija kutengeneza nywele au tukiwa tunapata moja moto moja baridi mashosti wanalalamika sana kuhusu hilo. Eti tunaomba mtuambie mmekuaje?
Inawezekana hamuwapi vizuri/hammeet expectation zao. Wape yote muone kama watakimbia!!:smile-big:
Wanaume wengine wana tabia ya kuonja onja tu, alinganishe hapa na pale. Hayo maneno matamu na investment ya mwanzo ni kutimiza lengo lake lao la kuwapata. Kuonja mwisho mara ngapi?
Tatizo la mahusiano siku hizi limekuwa kubwa kiasi kwamba ni kama hakuna mapenzi na kilichokuwepo ni tamaa za mwili tu,kwa wanaume watakacho ni kutimiza haja tu hasa kama mwanamke ana maumbile yanayovutia,na kwa wanawake ni wakati wa kutengeneza maisha kama mwanaume anayemfuatilia anazo,pia wanawake wengi siku hizi wakitongozwa tu wanafikiria KUOLEWA kitu ambacho kwa wanaume kinakuwa hakipo akilini.Habari wana jamvi,
Nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kwa mashosti eti utakuta mwanaume anamtokea msichana na kumuimbisha sana, mimi nakupenda zinakuwa nyingi, lakini mkishapewa mara moja ndo mnaanza visa, mara nina kazi nyingi nimebanwa, kabla ya kupewa muda ulikuwa mwingi tu wa kuwatafuta lakini ukishampata ndo visingizio vinaanza. Mimi nina saloon na grocery huko ndio huwa wadada wakija kutengeneza nywele au tukiwa tunapata moja moto moja baridi mashosti wanalalamika sana kuhusu hilo. Eti tunaomba mtuambie mmekuaje?
safina inshu ni kuwa!! Wanawake wengi wanakuwa siyo wabunifu utakuta mdada anategemea tu hiyo kitu yake kama mtaji wakunipata mimi na kuongeza life security yake. Hakumbuki kuwa mimi nachotaka ni furaha katika maisha yangu, natakiwa nijisikie vizuri zaidi nikiwa naye na kumuona ni muhimu kuwa naye muda mwingi. Kingine wadada wanarely mno kwa wanaume!! Mi nilikuwa na kitu changu yaani hadi raha nikitaka muda wowote napata, no complication na yeye akitaka nampa. Mizinga siyo lazima ila akinifuma ninazo nampa namimi nikichacha nampiga mzinga vile vile!! Life linakuwa siyo gumu sana maana mtu kama unapata taabu kuzichanga inakuwa ngumu hata kuongeza mzigo (tegemezi).
Wadada wengi wanakuwa too much tegemezi siku hizi, ila naona saizi wanabadirika kidogo kodogo ambapo bado ni wachache.
Thanks for the post.