Safina
JF-Expert Member
- Jun 18, 2009
- 497
- 64
Habari wana jamvi,
Nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kwa mashosti eti utakuta mwanaume anamtokea msichana na kumuimbisha sana, mimi nakupenda zinakuwa nyingi, lakini mkishapewa mara moja ndo mnaanza visa, mara nina kazi nyingi nimebanwa, kabla ya kupewa muda ulikuwa mwingi tu wa kuwatafuta lakini ukishampata ndo visingizio vinaanza. Mimi nina saloon na grocery huko ndio huwa wadada wakija kutengeneza nywele au tukiwa tunapata moja moto moja baridi mashosti wanalalamika sana kuhusu hilo. Eti tunaomba mtuambie mmekuaje?