Wanaume, wamekuwaje jamani!!!!

Wanaume, wamekuwaje jamani!!!!

pole mwaya,

ukifanya mapenzi,furahia tu,
usiweke expectations nyingi...

kama mwanaume hajapenda kitumbua chako mwache asonge,yupo atakayependa!!!
yupo pia atakeyeona kukughramia nyumba,saloon na vocha za simu sio mzigo...

kama wanawake wanavyokuja na different haiba/tabia,sizes na different vitumbua/taste...,
ndio hivyo hivyo pia wanaume wanavyokuja na different sizes/tabia..different 'muhogos'...

usipoteze muda na mtu unayemuona hamu-match,sababu utakuwa unajizibia nafasi ya kukutana na mtu unaye-match naye...:love:
Jisemee ukweli mwaya!
 
Aksante mwaya, unajua mwanzoni anavyokuwa anakutokea anaonyesha kana kwamba mta-match, hivyo na wewe unajiingiza mzima, mzima baadaye sasa akishapata ndo anaanza kuonyesha true-colour.
 
Nafikiri in a relationship there is more than the sex gift- kwa mwanaume ambaye ameridhika na huyo mwanamke (the whole package) sidhani kama hii ni case. Nawashauri wote msome kitabu kiitwacho Why Men Loves Bitches: From Doormat to Dreamgirl kimeandikwa na Sherry Argov....... it says it all.
 
Wengine tunaweza tukakosa hicho kitabu katika kutafuta kwetu,tubelezee japo muhtasari mkuu!
 
Nafikiri in a relationship there is more than the sex gift- kwa mwanaume ambaye ameridhika na huyo mwanamke (the whole package) sidhani kama hii ni case. Nawashauri wote msome kitabu kiitwacho Why Men Loves Bitches: From Doormat to Dreamgirl kimeandikwa na Sherry Argov....... it says it all.
I read this book it is very interesting.... i recommend this for ladies only...men u wont find it interesting though!!!!
 
Safina, swali lako liko sawa, lakini hili laweza kuwa jibu: Kwamba, dada zetu wana njaa sana baada ya kuwa ametoa mashine. Inakuwa sasa yeye ndo mzazi wa kila kitu yaani, mara pesa ya karo, mara mzazi anaumwa na mambo mengi kibao. Sasa jamaa zangu wengi huwa wanaamua kujiondoa mapema. Halafu utakuta kampata kwa gharama nyingi tu, then akijacheki mzigo, haulipi kifuatacho lazima akimbie.Halafu wengine huwa wanazuga eti bikira, anakuzungusha hata zaidi ya miezi sita, akimpa jamaa halafu asiikute hiyo bikira, aisee lazima akukimbie. Hivo kama bado wanakuja ktk saloon yako, waambie wasiwe waongo na pia kuombaomba pesa kila wakati.
 
KWA PAMOJA TUNA WAPENI POLE WOTE MLIOFIKWA NA SHIDA YA KUWAMISS WAPENDWA WENU.
Wanaume ni wenye upendo zaidi kuliko wake. tatizo kubwa linalo wakabili ni wadada kuzidi kuonekana warembo. kila siku anaona kuliko wa jana. Tena wababa wa leo hawana woga tena wanathubutu kusema nakupenda ya utani!!!! jamani kupenda sio jambo la utani! wadada wa leo wamesahau kuringa tena nao wamekossa woga. yeyote anaye mchekea tayari ni wake! kwanini usimjue mtu vema. hii kujuana kwenye simu nayo ni sababu kubwa. hujui kwao hujui jina lake wewe unajua namba ya simu tu!!! tena wadada wa leo wamekua hawana hesabu mwenzio anamiliki simu ya kitochi, wewe unataka ya kamera.
Wababa wanapenda sana wale wanao kataa vitu vya gharama. tena wababa wanateseka sana akiona mpenzi wake hamwombi chochote. ajabu ni kwamba mwanaume yupo tayari kumgaramia mwanamke asiye mwomba kuliko yule anayeomba.

nimefanya tafiti nyingi sana za mambo ya kijamii hivyo nina ushahidi wa hayo niliyo yaandika. pia mnisamehe sikuweza kuelzea sawa kwa vile ni mengi yanajaa kitabu.

TUZINGATIE ZAIDI UWAJIBIKAJI TUWAJIBIKE KUPENDA NA KUPENDWA PIA.
 
_ Hata cha kulumbana hapa sikioni, kwan ukishamopa na limtu likajikata wewe unalitaka la nini?achana nalo liisjie huko huko
 
Unategemea mtu atakwambia maneno yapi, kwamba sikupendi, unashepu mbaya nk, sintakupa vocha, sintakujengea nyumba, shopping nk. wakati kuna kitu anakihitaji kwako. Hata kwa wanasiasa ni hivyo2, jukwaani utasikia maneno matamu sana yatakayokunenepesha kwa mda mfupi hata kama umekonda, mwisho wa siku solembaaaa!!!
Ni maoni tu, ingawa ina factors nyingi za kuangalia.
 
Back
Top Bottom