Wanaume wanaangamia kwa kukosa maarifa

Ha ha ha ha ha ha imepokea salam Hajar kwa mikono miwili sitiless za intaviyuu mimi ninazo
Nafurahi kwa kuzipokea salamu mwaya. [emoji120] [emoji120]

Ewaaaaa hizo sitiles nyingine tuwaachie wenyewe Me. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wakati wadada wenye umri kama wako wakipata stress kwa kutoitwa kwenye interviews na kukosa kazi wakati vyeti wanavyo..wewe unapata stress kwasababu ya mwanamke.

Kaka upo serious na maisha kweli!.
inategemea na situation husika na uhusiano na huyu mwanamke. Tatizo siyo stress tatizo is how u handle stress
 
Wakati wadada wenye umri kama wako wakipata stress kwa kutoitwa kwenye interviews na kukosa kazi wakati vyeti wanavyo..wewe unapata stress kwasababu ya mwanamke.

Kaka upo serious na maisha kweli!.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hao ndo wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…