low thinking capacity
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 1,323
- 1,496
Bila mapenzi bado ujala maisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inategemea na situation husika na uhusiano na huyu mwanamke. Tatizo siyo stress tatizo is how u handle stressWakati wadada wenye umri kama wako wakipata stress kwa kutoitwa kwenye interviews na kukosa kazi wakati vyeti wanavyo..wewe unapata stress kwasababu ya mwanamke.
Kaka upo serious na maisha kweli!.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hao ndo wanaumeWakati wadada wenye umri kama wako wakipata stress kwa kutoitwa kwenye interviews na kukosa kazi wakati vyeti wanavyo..wewe unapata stress kwasababu ya mwanamke.
Kaka upo serious na maisha kweli!.