mwanaume mnashindwa kuongea lugha mojaAibu unaona wewe mwanamke wanaume mkuje jamani
Kama hana pesa aseme hapa pesa ipo hata atake GIV,CIROC anapewa: ukiona hivi ujue hana pesa ila sio kama hataki bia anajikaza kiume ili we ulewe akupige ukuni vizuri
Huyu ni mwenzenu? anatoka kwenye chama chenu kabisa na mme mpa kadi ya uanachama?Aibu unaona wewe mwanamke wanaume mkuje jamani
Huna ubavu wa kununua CIROC wewe
Anywe basi hata wine
Nani bamdogoHuyu ni mwenzenu? anatoka kwenye chama chenu kabisa na mme mpa kadi ya uanachama?
mtoa mada?Nani bamdogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana sijawahi kukosa hela ya bia hata siku moja,hata km tutakua watu watano ,nitalipa tu ,siwezi kukaa bar kisha ninywe maji au soda nilizoacha hm ktk friji
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Eeenh mwanamke mwenzetu wa shoka tena bamdogomtoa mada?
Watu kama hao wanakuwaga ma punguanini jambo la aibu mwanamke unakutana nae bar baada aombe anunuliwe chakula yeye anawaza savanna alafu unakuta tangu asubuhi ajala
Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki unacheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rafiki nimefurahi huo ndio uanaumeRafiki unacheka
[emoji767]101-03-821.M|T|C