Wanaume wanahesabika siku hizi

Wanaume wanahesabika siku hizi

Ndio maana sijawahi kukosa hela ya bia hata siku moja,hata km tutakua watu watano ,nitalipa tu ,siwezi kukaa bar kisha ninywe maji au soda nilizoacha hm ktk friji

[emoji767]101-03-821.M|T|C

Kwani usipokunywa bia unakosa hela? Mimi sinywi pombe yeyote lakini nitakae kuwa nae/nao me au ke nawanunulia mpaka washindwe. Na kwenye friji yangu kumejaa wine na pombe nyingine kibao nawekea wanywaji.
 
: ukiona hivi ujue hana pesa ila sio kama hataki bia anajikaza kiume ili we ulewe akupige ukuni vizuri
Aisee...hivi kuna watu mna mawazo kama haya? Bia zenyewe buku buku...hatunywi na tunawanunulia walevi bia kwa ndoo
 
Madam mama huyo mwanamme umemtoa badoo?

Ila madam mama una guu guu. Nina uhakika si haba pia
 
Ni jambo la aibu sana hili hata kuliandika naona namaliza kilevi changu kichwani

Mwanaume Kukaa Bar Na Demu Anayekunywa Bia Halafu Wewe Unakunywa Maji,Soda au Juice Na Wewe Huna Tofauti Na Slay Queen

Badilika


Sent using Jamii Forums mobile app
Duh... kwa hiyo mwanaume asiyekunywa bia haruhusiwi kwenda Bar na mwenzi wake anayekunywa bia?
 
Ni jambo la aibu sana hili hata kuliandika naona namaliza kilevi changu kichwani

Mwanaume Kukaa Bar Na Demu Anayekunywa Bia Halafu Wewe Unakunywa Maji,Soda au Juice Na Wewe Huna Tofauti Na Slay Queen

Badilika


Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba mie kama kawaida yangu niko zangu pale kaunta sina kampani nakunywa Guiness kavu bila glass, huku live band inapiga mdogo mdogo watu wazima kibao kijana mie nimevimba tu. (BAU) Business As Usual

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom