Sobelex
Member
- May 27, 2018
- 48
- 47
Nitakunywa maji na we hata ukitaka pombe za milioni utakunywa *****
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MamboSoda inaondoka na uanaume?
[emoji252] [emoji479]
Ndio maana sijawahi kukosa hela ya bia hata siku moja,hata km tutakua watu watano ,nitalipa tu ,siwezi kukaa bar kisha ninywe maji au soda nilizoacha hm ktk friji
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Kwamba huwezi kuishi bila pombe?Aisee yani mtu hanywi pombe?? Anaishi je huyo[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee...hivi kuna watu mna mawazo kama haya? Bia zenyewe buku buku...hatunywi na tunawanunulia walevi bia kwa ndoo: ukiona hivi ujue hana pesa ila sio kama hataki bia anajikaza kiume ili we ulewe akupige ukuni vizuri
In short umehesab mwaname wa darNi jambo la aibu sana hili hata kuliandika naona namaliza kilevi changu kichwani
Mwanaume Kukaa Bar Na Demu Anayekunywa Bia Halafu Wewe Unakunywa Maji,Soda au Juice Na Wewe Huna Tofauti Na Slay Queen
Badilika
Sent using Jamii Forums mobile app
CheupeeRafiki nimefurahi huo ndio uanaume
NonsenseAisee yani mtu hanywi pombe?? Anaishi je huyo[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh... kwa hiyo mwanaume asiyekunywa bia haruhusiwi kwenda Bar na mwenzi wake anayekunywa bia?Ni jambo la aibu sana hili hata kuliandika naona namaliza kilevi changu kichwani
Mwanaume Kukaa Bar Na Demu Anayekunywa Bia Halafu Wewe Unakunywa Maji,Soda au Juice Na Wewe Huna Tofauti Na Slay Queen
Badilika
Sent using Jamii Forums mobile app
huo ni mtego ili ulewe aje akukope baada ya kukufanyia umafia chumbani.
Utu tagUmenikumbusha tukio moja hivii, ngoja nikalianzishie uzi.
Mzee baba mie kama kawaida yangu niko zangu pale kaunta sina kampani nakunywa Guiness kavu bila glass, huku live band inapiga mdogo mdogo watu wazima kibao kijana mie nimevimba tu. (BAU) Business As UsualNi jambo la aibu sana hili hata kuliandika naona namaliza kilevi changu kichwani
Mwanaume Kukaa Bar Na Demu Anayekunywa Bia Halafu Wewe Unakunywa Maji,Soda au Juice Na Wewe Huna Tofauti Na Slay Queen
Badilika
Sent using Jamii Forums mobile app