Wanaume wanahesabika siku hizi

Rafiki nimefurahi huo ndio uanaume
Ulisema raha jipe mwenyewe, ukisubiri upewe raha unawapa watu karaha,km hv unafunguliwa Uzi kisa ugimbi tu

Wkt ni vitu vidogo Sana ,aargh acha niendelee kula ugimbi huku niki nyuzi humu JF

[emoji767]101-03-821.M|T|C
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nakazia rafiki
 
Ni jambo la aibu sana hili hata kuliandika naona namaliza kilevi changu kichwani

Mwanaume Kukaa Bar Na Demu Anayekunywa Bia Halafu Wewe Unakunywa Maji,Soda au Juice Na Wewe Huna Tofauti Na Slay Queen

Badilika

Sent using Jamii Forums mobile app

Daah,nataka niseme neno ila nasita... Nafunika kombe mwana haramu apite.
 
Sio kinywaji chake yeye atakua anakunywa papauchi sio bure
Maaana wanywa mbunye wengi sio walevi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…