Wanaume wanajua kupika kuliko wanawake.


Sikubaliani na tafiti yako.
Kwakua:-
1.Kujua kukaanga chipsi sio kujua kupika.Wanaume wengi hatupiki wala kujua mapishi kama ilivyo kwa wanawake.

2. Umetaja kabila, hii ni more specific.
Kila kabila lina aina ya vyakula vya kikwao. Na wanaelewa namna ya kuviandaa. Wasipopika chakuka cha asili yako haimaanishi hawajui kupika. Makabila ya kaskazininwako vizuri sana kwenye mapishi ya nyama zote. Iwe kitimoto, ngombe, Mbuzi, Kondoo.its their culture..

Pambana na Hali yako Mkuu.








Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli

Sent from my SM-G950FD using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…