Truths
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,494
- 1,504
Nimefanya utafiti wa muda mrefu kupitia mahotel makubwa,migahawa ,pia hata majumbani ,,hatimaye nimegundua kwamba wanaume wanajua sana kupika kuliko wanawake.
Wanawake wengi wana lipua tu mapishi hasa wanawake wa kichaga hawajui kabisa kupika .
Mara kwa mara nikienda hotel kubwa au migahawa nilikuwa nashangaa kuona wanaume ndo wanapika lakini wanawake wanafanya kazi nyingine kama kuhudumia wateja na kuosha vyombo.
Nikakaa chini nikakusanya data za kutosha na kufanya utafiti wa kina na nikagundua mademu wengi kupika hawajui.
Hata majumbani siku chakula akipika mwanaume lazima kinoge sana tofauti akipika demu
Hata hawa wanaosupply vyakula kwenye sherehe wengi wanaopika ni wanaume ,hata ukizunguka vibanda vya chipsi huko mtaani vibanda vingi wapo wanaume kama ukikuta anapika demu basi hayo machipsi yanakuwaga mabaya kichizi yani.
Sikubaliani na tafiti yako.
Kwakua:-
1.Kujua kukaanga chipsi sio kujua kupika.Wanaume wengi hatupiki wala kujua mapishi kama ilivyo kwa wanawake.
2. Umetaja kabila, hii ni more specific.
Kila kabila lina aina ya vyakula vya kikwao. Na wanaelewa namna ya kuviandaa. Wasipopika chakuka cha asili yako haimaanishi hawajui kupika. Makabila ya kaskazininwako vizuri sana kwenye mapishi ya nyama zote. Iwe kitimoto, ngombe, Mbuzi, Kondoo.its their culture..
Pambana na Hali yako Mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app