Wanaume wanajua kupika kuliko wanawake.

Wanaume wanajua kupika kuliko wanawake.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Nimefanya utafiti wa muda mrefu kupitia mahotel makubwa,migahawa ,pia hata majumbani ,,hatimaye nimegundua kwamba wanaume wanajua sana kupika kuliko wanawake.

Wanawake wengi wana lipua tu mapishi hasa wanawake wa kichaga hawajui kabisa kupika .

Mara kwa mara nikienda hotel kubwa au migahawa nilikuwa nashangaa kuona wanaume ndo wanapika lakini wanawake wanafanya kazi nyingine kama kuhudumia wateja na kuosha vyombo.

Nikakaa chini nikakusanya data za kutosha na kufanya utafiti wa kina na nikagundua mademu wengi kupika hawajui.
Hata majumbani siku chakula akipika mwanaume lazima kinoge sana tofauti akipika demu

Hata hawa wanaosupply vyakula kwenye sherehe wengi wanaopika ni wanaume ,hata ukizunguka vibanda vya chipsi huko mtaani vibanda vingi wapo wanaume kama ukikuta anapika demu basi hayo machipsi yanakuwaga mabaya kichizi yani.
 
Chakula apike mke wangu bhana!
mama yangu nae ni fundi sana sekta hii

huko kwingine wanapika wanaume sababu wanatumia nguvu kupika chakula kingi hivyo mwanamke anawekwa pembeni!

Ila pole huenda umezungukwa na wanawake wasiojua kupika

"mwanaume mashine"
 
Acha unaa mkuu, unaleta ukabila Kama umemuona huyo mmoja usiwajumuishe wote, wanaume wanapika kwenye watu wengi km shule, migahawa mikubw , n.k kozi hutumia nguvu zaid ya wanawake Ila sio wanawake hawawez pika, huko ulipofanyia utafiti wako Ndio hawawez lkn sio Huku kwetu
~over~

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja hapo kwenye wanawake wa kichaga,wanavuruga na kukoroga tu vyakula havina ladha...labda wapike mtori na wachemshe supu ndio wanajua....ila kwa wanawake wengine wanajua.
 
mahotelini wanaume wengi huwa wapishi kutokana na shughuli za hoteli kupika majungu makubwa na ni kazi nzito wanawake wanazikimbi, mara mwanamke kabeba mimba na zile shughuli za jikoni , maboss wanapendelea zaidi kuajiri wanaume. tofauti na mapishi ya nyumbani ni chakula cha watu wacahche ila wanawake wengi ni wapishi wazuri sana kuliko wanaume.
 
Nimefanya utafiti wa muda mrefu kupitia mahotel makubwa,migahawa ,pia hata majumbani ,,hatimaye nimegundua kwamba wanaume wanajua sana kupika kuliko wanawake.

Wanawake wengi wana lipua tu mapishi hasa wanawake wa kichaga hawajui kabisa kupika .

Mara kwa mara nikienda hotel kubwa au migahawa nilikuwa nashangaa kuona wanaume ndo wanapika lakini wanawake wanafanya kazi nyingine kama kuhudumia wateja na kuosha vyombo.

Nikakaa chini nikakusanya data za kutosha na kufanya utafiti wa kina na nikagundua mademu wengi kupika hawajui.
Hata majumbani siku chakula akipika mwanaume lazima kinoge sana tofauti akipika demu

Hata hawa wanaosupply vyakula kwenye sherehe wengi wanaopika ni wanaume ,hata ukizunguka vibanda vya chipsi huko mtaani vibanda vingi wapo wanaume kama ukikuta anapika demu basi hayo machipsi yanakuwaga mabaya kichizi yani.
Najiuliza hawa viumbe (wanawake) wanaweza kazi gani sijui.
 
Dah....ni kweli....dem wangu nimempa sifuri kwenye mapishi......hahangaiki tena...na wala hainisumbui [emoji87]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
mwanaume akiamua kufanya kitu acha kabisa huwez kumfananisha na mwanamke.Mungu alimuumba mwanaume acheni kufananisha mwanaume na vitu vya ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom