Wanaume wanakuwaga mzunguko na hot days?

Hatuna siku zetu, ilimradi tuña afya njema. kila muda huwa tuko hot, mnatukosea sana mnavyotunyima hata nikichepuka kama matokeo ya kunyimwa huwa sijutii kabisa sijui kwa nini tuliumbwa kuwa hot muda wote
 
Sisi kila sekunde, kila dakika, kila saa, kila siku, kila wiki, kila mwezi, kila mwaka ni Hot days...Hot days inapotea pale mwanaune anapokufa au kukosa goroli mbili
 
Ndomana mnapopambani 50/50 huwa tunawashangaa, mwanaume hajawahi kuwa sawa na mwanamke na haitakuja kutokea. Si unaona kama hapa unajaribu kulinganisha mambo yenu (wanawake) na mambo ya wanaume ukihisi kuna mfanano ila nikwambie tu: kwetu wabaume hakuna siku wala saa, ni muda wowote kinaamshwa. Mwanaume asipokuwa na stress akiona au kuhisi tu basi imoooo!
 
Bila shaka utakuwa unafanya research.

Always hot kama Sahara, especially zikipita siku 3 bila ya proper equalisation. Kila demu anageuka mzuri kuliko wote duniani. Akili haitulii kabisa na wala haufikirii logically tena hadi u-crack a nut. Inahitaji uwezo mkubwa wa kujitambua ili kuji-control. Au utaushia pabaya kwa kufirisika au kupata magonjwa na kufa.

Reach further for private classes.
 
Ndio mzunguko wa wanaume uko hivi tukiwaga na pesa mfukoni tunakuwa hot sana Yani swala yoyote akipota mbele yetu ni halali yetu but mtonyo ukikata tunapowa kidogo na mda huo karibia Kila demu tunamuona Malaya tu mla hele zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…