King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Nauliza tu kujifunza.huwezi jua kesho naweza kuwa na familia mume anaehangaika mi sielewi kitu
Je wanaume nao wanakuwaga na siku zao za joto kupanda ama hot days ambapo hormone zao zinakuwa juu na hamu pia?
Ama wao ni regular tu?
Nimezoea Kwa wanawake katika ule mzunguko wao Kuna siku zinaitwa za hatari ndio naita hot days,hizi siku ni balaa na nusu yake🙆
Katika hizi siku ndio mwanamke anakuwa kwenye uwezekano wa kubeba mimba Kwa 100%
Joto la mwili hupanda
Hormone zinaachiliwa kama zote,mayai ndani yanakuwa ready kutungisha mimba na ukeni kunakuwa wet na utelezi mda mwingi.yai lile likikosa kirutubisho toka Kwa mwanaume ndo linatokea na kushuka nje ya uke kama waste.
Hata Kwa mnyama mbwa pia,ana siku zake hatari,na wanatoka harufu Fulani inayomvuta dume hata kama Yuko mtaa wa saba ataruka ukuta amfate jike alipo.jike huwa anahangaika anatoa milio fulani mda wote na huwa anatoka utelezi.
Nadhani hii ni mahsusi kwajili ya kurahisha uumbaji na kujaza Dunia.
But my question...wanaume binadamu na nyie mna siku zenu au mnavutwa tu na majike?
Mimi picha nilizoziona na tetesi ni kwamba wapo wawili, mmoja mnayemjua mbongo na mwingine huyu mzungu wa kwenye picha.Unazungumzia mke yupi!? Huyo pichani ndo mkewe na siyo mzungu.
Mnaona umuhimu wetu kwenu, yaani hamna ujanja bila sisi ila sisi tunaweza ishi bila nyinyi, (baadhi yetu) na ndiyo maana hapo Dar unakuta mwanamme ana demu lakini pia naye (mwanamme) ana bwana wake wa pembeni. Rejeeni kisa cha changu Zaylisa.Nauliza tu kujifunza.huwezi jua kesho naweza kuwa na familia mume anaehangaika mi sielewi kitu
Je wanaume nao wanakuwaga na siku zao za joto kupanda ama hot days ambapo hormone zao zinakuwa juu na hamu pia?
Ama wao ni regular tu?
Nimezoea Kwa wanawake katika ule mzunguko wao Kuna siku zinaitwa za hatari ndio naita hot days,hizi siku ni balaa na nusu yake🙆
Katika hizi siku ndio mwanamke anakuwa kwenye uwezekano wa kubeba mimba Kwa 100%
Joto la mwili hupanda
Hormone zinaachiliwa kama zote,mayai ndani yanakuwa ready kutungisha mimba na ukeni kunakuwa wet na utelezi mda mwingi.yai lile likikosa kirutubisho toka Kwa mwanaume ndo linatokea na kushuka nje ya uke kama waste.
Hata Kwa mnyama mbwa pia,ana siku zake hatari,na wanatoka harufu Fulani inayomvuta dume hata kama Yuko mtaa wa saba ataruka ukuta amfate jike alipo.jike huwa anahangaika anatoa milio fulani mda wote na huwa anatoka utelezi.
Nadhani hii ni mahsusi kwajili ya kurahisha uumbaji na kujaza Dunia.
But my question...wanaume binadamu na nyie mna siku zenu au mnavutwa tu na majike?
PadiriMi sister wa parokian nimpe nani?
Kwa kifupi hapana, sisi tumeumbwa kuwa na joto kila sekunde....hata utuamshe saa tisa usiku unataka shoo, dushe hiloo utalikuta limesimama likitafuta network usingizini. Ukiligusa tu, unachapwa na kushibishwa. Only side effects utakazozipata ni kule kuumwa miguu, mgongo na kupata usingizi asubuhi ukiwa kazini kwenye vikao. Wanaume wa Kiafrika tuko tofauti sana na wenztu wengine maana wao mpaka wanyonywe ama kulambwa koni pamoja na kupigwa vidole mkunduni ili wapate stimu, mchezo wa kishenzi ambao vijana wengi wa Kibongo fleva wamejiingiza huko kama Diamond kupakwa mafuta na P. Diddy.Nauliza tu kujifunza.huwezi jua kesho naweza kuwa na familia mume anaehangaika mi sielewi kitu
Je wanaume nao wanakuwaga na siku zao za joto kupanda ama hot days ambapo hormone zao zinakuwa juu na hamu pia?
Ama wao ni regular tu?
Nimezoea Kwa wanawake katika ule mzunguko wao Kuna siku zinaitwa za hatari ndio naita hot days,hizi siku ni balaa na nusu yake🙆
Katika hizi siku ndio mwanamke anakuwa kwenye uwezekano wa kubeba mimba Kwa 100%
Joto la mwili hupanda
Hormone zinaachiliwa kama zote,mayai ndani yanakuwa ready kutungisha mimba na ukeni kunakuwa wet na utelezi mda mwingi.yai lile likikosa kirutubisho toka Kwa mwanaume ndo linatokea na kushuka nje ya uke kama waste.
Hata Kwa mnyama mbwa pia,ana siku zake hatari,na wanatoka harufu Fulani inayomvuta dume hata kama Yuko mtaa wa saba ataruka ukuta amfate jike alipo.jike huwa anahangaika anatoa milio fulani mda wote na huwa anatoka utelezi.
Nadhani hii ni mahsusi kwajili ya kurahisha uumbaji na kujaza Dunia.
But my question...wanaume binadamu na nyie mna siku zenu au mnavutwa tu na majike?
---..wanaume binadamu na nyie mna siku zenu au mnavutwa tu na majike?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 3376080
# mitano tena. [emoji16]
Anarejea kwao chapWakivunja muungano itakuwaje sasa kwa kizimkazi?
Labda deal za pesa zikienda mramaKuna zile siku mnakuwa serious sana
Oukay,.Hahaha sawa
Mwanaume kila siku ni hot day. Umkimnyima anakasirika.Nauliza tu kujifunza.huwezi jua kesho naweza kuwa na familia mume anaehangaika mi sielewi kitu
Je wanaume nao wanakuwaga na siku zao za joto kupanda ama hot days ambapo hormone zao zinakuwa juu na hamu pia?
Ama wao ni regular tu?
Nimezoea Kwa wanawake katika ule mzunguko wao Kuna siku zinaitwa za hatari ndio naita hot days,hizi siku ni balaa na nusu yake🙆
Katika hizi siku ndio mwanamke anakuwa kwenye uwezekano wa kubeba mimba Kwa 100%
Joto la mwili hupanda
Hormone zinaachiliwa kama zote,mayai ndani yanakuwa ready kutungisha mimba na ukeni kunakuwa wet na utelezi mda mwingi.yai lile likikosa kirutubisho toka Kwa mwanaume ndo linatokea na kushuka nje ya uke kama waste.
Hata Kwa mnyama mbwa pia,ana siku zake hatari,na wanatoka harufu Fulani inayomvuta dume hata kama Yuko mtaa wa saba ataruka ukuta amfate jike alipo.jike huwa anahangaika anatoa milio fulani mda wote na huwa anatoka utelezi.
Nadhani hii ni mahsusi kwajili ya kurahisha uumbaji na kujaza Dunia.
But my question...wanaume binadamu na nyie mna siku zenu au mnavutwa tu na majike?
Wewe hunaga hot days?😂
Hahaha hapana kwa kweli.Wewe hunaga hot days?😂
Ujue kakosa kwa mchepuko.Kuna zile siku mnakuwa serious sana
Au we Kila mda unapandisha bendera😂Hahaha hapana kwa kweli.
Kabisa mda wowote huwa kina umana tuAu we Kila mda unapandisha bendera😂
We safi 😋😋🤤Kabisa mda wowote huwa kina umana tu