Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Hii ndio shida ya maafande waliopewa kazi miaka 2 iliopita
Kujidai inajua kila mtu at his finger tip!
Asinizoee kama vp anisubirie airport nikiland next week akaniulize maswali yote na mchungaji alietufungisha ndoa nitampeleka yupo kijijini huko anakula nchi
Akawachokonoe size na umri wake hapa kwangu ni bahari ya shamu itamchukua Mungu kushuka ndio apite
Umeskia we askari kanzu Dionize N
Hahaha... msamehe... ila wewe ni mwanamke... kufuatwa fuatwa ni lazima... haswa ukiwa open minded watu watakuzoea na kukuchokonoa... keep up with the positive vibes..
Cc: mahondaw