Hii ndio shida ya maafande waliopewa kazi miaka 2 iliopita
Kujidai inajua kila mtu at his finger tip!
Asinizoee kama vp anisubirie airport nikiland next week akaniulize maswali yote na mchungaji alietufungisha ndoa nitampeleka yupo kijijini huko anakula nchi
Akawachokonoe size na umri wake hapa kwangu ni bahari ya shamu itamchukua Mungu kushuka ndio apite
Umeskia we askari kanzu Dionize N
Sidhani kama mind yako iko sawa maana sijawahi kukuelewa mambo unayoongea yaani ni ilimladi uonekane umeongea.Nishakujibu nina ndoa ya miaka 30 hutaki kakojoe ukalale
Nishawashauri sana waelewe wasielewe ni wao
Punda utamsogeza mpaka kisimani kama hataki kunywa maji shauri ni la Punda sio mfuga Punda
Nimeolewa nikiwa na miaka 18 sasa nina miaka 48
Sawa Afande?!
Naona wamekutuma wewe finally kawajibu kama nilivyoandika waje wanikamate nipo Turkey
Kumbe shida ni dokta?!Sidhani kama mind yako iko sawa maana sijawahi kukuelewa mambo unayoongea yaani ni ilimladi uonekane umeongea.
Wahi kwa daktari akufanyie checkup bado mapema
Kumbe shida ni dokta?!
Huwezi nielewa kama umeishia Darasa la 7 na form 4 yenyewe umepata division 0
Umeskia Smart911 Smart911 alivyosema hapo juu.. Am Open Minded
Ushazoea kuonea wanawake kwangu umecheleeaaa Abi
Mimi nawexa kukurudisha Mpwapwa wewe usijue umerudije na kicheo chako change afande uniform mxiuuuu
Nenda kwa mwana saikolojia au Nenda kasome ukishaipata Masters au PHD uje tuonger meza moja
Kwa sasa utaendelea kuona kila thread nayoweka ni maluweluwe au nyota kwako
Ukishindwa kusoma nenda kaoshwe baharini huenda hukuaga kwenu
Mwulize Kwanzaa anajua mana ya Open Minded PersonHahaha... msamehe... ila wewe ni mwanamke... kufuatwa fuatwa ni lazima... haswa ukiwa open minded watu watakuzoea na kukuchokonoa... keep up with the positive vibes..
Cc: mahondaw
Huna jipya sema Elimu yako ndogo usaidiwe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hapa naona nakimbizana na chizi aliekwapua nguo zangu nikiwa naoga, nitakaeonekana chizi ni mimi naekukimbiza nikiwa uchi so wacha nikupotezee.
Ila nakushauri tena kamuone daktari bado mapema ikija kupanda ikazidi hapo ndio nitolee
Kumbe shida ni dokta?!
Huwezi nielewa kama umeishia Darasa la 7 na form 4 yenyewe umepata division 0
Umeskia Smart911 Smart911 alivyosema hapo juu.. Am Open Minded
Ushazoea kuonea wanawake kwangu umecheleewaaa Abi
Mimi naweza kukurudisha kijijini Mpwapwa, usijue umerudije na kicheo chako cha afande uniform ...mxiuuuu
Nenda kwa mwana saikolojia au Nenda kasome ukishaipata Masters au PHD uje tuongee meza moja
Kwa sasa utaendelea kuona kila thread nayoweka ni maluweluwe /mauzauza au nyota kwako
Ukishindwa kusoma nenda kaoshwe baharini huenda hukuaga kwenu
Unajua nashangaa sana zamani JF ilikuwa na wasomi sasa hivi tumevamiwa na school drop outs who wants to be like Billgates ππππ
Honey 50thebe 50thebe Wanna be's wameongezeka Bongo Buana
Mwulize Kwanzaa anajua mana ya Open Minded Person
Tusije shindana na upepo tunajichosha bure!
Akatafute Elimu Kwanzaa ndio aje aelewe wana JF
Keshazoea vigorous anadhani na JF kuna wenye dhiki na vigodoro
Huna jipya sema Elimu yako ndogo usaidiwe
Kimbilia Elimu ya watu wazima Ma'am bado zinatolewa
Kuhusu videos hujatumiwa wewe almost eeeeverybody JF katumiwa
Hiloooo ur not that special wewe ni chenji tu
Kwakweli na Leo ni j2
Ngoja niitembelee hii site nione developer kafanya nini.Officialmoneystars.com
Akili yako imejaa ngono ngono ngono zembeNimekuuliza tu kwani nilikuambia unitumie?
Utaanzaje kuvua chupi hata hujatongozwa?
Mmmh sidhani kama utapata hapo kituNgoja niitembelee hii site nione developer kafanya nini.
Nimekuuliza tu kwani nilikuambia unitumie?
Utaanzaje kuvua chupi hata hujatongozwa?
NotedSidhani kama kuna haja ya matusi bro, afu wanaume atutupiani maneno na mwanamke kwa style hiyo.....please naomba usisahau kanuni za suruhali.
Samahani lakini, kama nimekukwaza.
Unajua ndio mana nakupenda kweli ndugu yanguSidhani kama kuna haja ya matusi bro, afu wanaume atutupiani maneno na mwanamke kwa style hiyo.....please naomba usisahau kanuni za suruhali.
Samahani lakini, kama nimekukwaza.
Na wewe mama me nikajua ushavuta shuka rafiki yangu.....kumbe bado macho kodo, fanya yameisha bhana, msamehe tu bure, alijisahau naona.....Unajua ndio mana nakupenda kweli ndugu yangu
Kha!
Kumbe kuna kanuni za Suruali?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo atakuwa mwananume wa Dar!
Aya TaajiriNa wewe mama me nikajua ushavuta shuka rafiki yangu.....kumbe bado macho kodo, fanya yameisha bhana, msamehe tu bure, alijisahau naona.....
Aya Taajiri