Wanaume wanalalamika wakisoma Stori/Hadithi zangu za Mapenzi Wanadinda!

Wanaume wanalalamika wakisoma Stori/Hadithi zangu za Mapenzi Wanadinda!

Wanaume Buana!
Wengi wananilalamikia PM kuwa wakisoma stori/hadithi zangu hapa JF na Kwenye Website yangu huwa wanadinda .
Kudinda huko vepe?
Mimi mbona naandika hadithi za clean version?! PG 16-20
Sa nikiandika za PG-30 si mtazini kabisa? !
Au mnataka kunitafutia sababu tu hamna lolote mnanizingua?!

Kumbee?!
 
Back
Top Bottom