makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Enzi zangu nilikiwa napenda saana wanawake wenye ndevu, wenye mabesi(ukimkuta anaugulia ubooh na sauti lake,hii ni zaidi ya kumuona messi akimuangusja boateng) kuna wasagaji(vile unawapelekea moto wana'confess,ni raha tu, bichwa linavimba kama gudulia[emoji1787]), wakubwa walionizidi umri(vitoto havikuwahi kuninogea, ukinipa mtoto tunaweza kutoka mtwara na kigoma kisitokee kitu, ila mtu mzima,(msimbazii na aggrey mbali nishamaliza)1[emoji38][emoji1787][emoji23]
Sina budi kumshukuru mungu kumaliza ujana salama, na kumuomba msamaha wa marundo ya makosa niliyotenda[emoji17][emoji20]
Sina budi kumshukuru mungu kumaliza ujana salama, na kumuomba msamaha wa marundo ya makosa niliyotenda[emoji17][emoji20]