Wanaume wanao vaa miwani nao watakiwa kuchunguzwa

Tunaomba radhi kwa wote watakaokwazika mwandishi ni mmoja wa wagonjwa wetu katika hospital yetu ya crazy for life.

Ndugu Mwachiluwi, alitoroka jana hospital na Sasa anaropoka tu.

Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia hivyo mvumilieni.

Ninaambatanisha ushahidi wa vyeti alivyovipata kutoka hospital yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…