Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hawa wanaume wanaovaa miwani wachunguzwe upya wanarembua macho ndani ya miwani embu wachunguzwe halafu mtoe tamko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo ukitendwa na mwanaume mmoja aliyevaa miwani basi unawachukia wote.Hawa wanaume wanao vaa mewani wachunguzwe upya wanarembua macho ndani ya mewani embu wachunguzwe afu mutoe tamko
Wengi ni wagonjwa wa macho
Urembo, mbona huwasemi wanaovaa shanga, cheniAfu wengine wana matatizo gani
Siyo ukitendwa na mwanaume mmoja aliyevaa miwani basi unawachukia wote.
Urembo, mbona huwasemi wanaovaa shanga, cheni
Watanzania wana mawazo ya kijinga sana ndio maana nchi haisongi mbele
Sijui wanakosa kazi za kufanya?
Miwani aina gani?Hawa wanaume wanao vaa miwani wachunguzwe upya wanarembua macho ndani ya mewani embu wachunguzwe afu mutoe tamko
Miwani aina gani?
Tz bado kunashida kubwa sana.Watanzania wana mawazo ya kijinga sana ndio maana nchi haisongi mbele
Sijui wanakosa kazi za kufanya?
unawachunguza hadi kurembua🤣🤣🤣🤣Za macho hizi za kisasa
Unalosema ni kweli. Imagine kabisa mtu anakuja anzisha uzi kama huu? Wa kipumbavu. Halafu baadaye anaweza kulalamika hapati wanaume wa kumuoa.Watanzania wana mawazo ya kijinga sana ndio maana nchi haisongi mbele
Sijui wanakosa kazi za kufanya?
unawachunguza hadi kurembua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona leo zinaruka nyuzi za kijinga jinga sana?
Madaktari wa mirembe hakikisheni wote mna simu zenu.