Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Nahisi hata aliyeliumba mwenyewe anashangaaBara la afrika ni jumba kubwa ambalo limejaa michezo ya komedi
Na ndiye rafiki wa AbdulNdio wanategemea awe rais baada ya Museven. Africaa
Mkuu wa majeshi anashinda twitter π
Yeye na hilo limtambi sizani hata kama inasimama... Waongeaji wa hivyo wengi ni wahanga wanajificha kwenye kauli zao...
Rubbish