Wanaume wanaofakamia fasheni za kike ni dalili za ushoga?

tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
24,225
Reaction score
22,632
Siku hizi imekuwa desturi kwa baadhi ya wanaume kuvamia fasheni na tabia za kike hadi inaleta wasiwasi. Unamkuta mwanaume kipande cha baba amevaa kipochi cha kike anazurura nacho mtaani hadi unashangaa huyu jamaa vipi? Amerogwa, ni shoga au amezidiwa na homoni za kike?

Hivi hawa wanaume wanaovaa vipochi, tena wanamechisha kabisa, na kutoka navyo mitaani wana nini lakini jamani? Kwanini mtu uvae vitu vya kike? Wengine wanafikia hatua ya kuvaa bangili mikononi mwao. Lakini kuna wanaoenda mbali zaidi hadi kutoga masikio na pua na kuvaa hereni na vipini, mtawalia. Au unamkuta mwanaume kajichafua tatoo mwili mzima utadhani mwali kajipamba kabla ya kuingia kwenye ukumbi wa ndoa. Je, tukisema kwamba hawa wanaume wana homoni za kike au ushoga tutakuwa tumekosea?
Inashangaza na kusikitisha unakutana na mwanaume kajipaka marashi yananuka mtaa mzima. Yaani unapishana naye unakwenda hatua zaidi ya 100 bado unasikia harufu ya marashi? Ukiwabana watu wa aina hii watakuambia eti wamejipaka marashi ya kiume. Ebo!

Kana kwamba haya yote hayatoshi, kuna wimbi kubwa la wanaume wanaotaka kuhalalisha uvaaji wa bukta na boxer na kuingia nazo mitaani. Hivi mwanaume mzima unavaaje bukta unaenda nayo hadi sokoni na kwenye maeneo ya mikusanyiko ya watu na bado unajiona uko sawa? Kama kawaida yao, ukiwauliza kwanini wanafanya hivi watakuambia wanavaa bukta za kiume sio pensi za kike. Kama vipi basi watengenezewe papuchi za kiume wawe wanagawa uroda, isiwe taabu.​
Nchi hii ina baadhi ya wanaume wa ovyo na wenye tabia na akili za kike na kishoga kuliko kawaida. Serikali isipoingilia kati na kupiga marufuku huu ushenzi, miaka michache ijayo tutakuwa na taifa la ovyo sana.
 
Hatari, ila hapo kwenye kuvaa pensi na kunukia nayo huwa ni kitu mbaya e😅😅😅
 
Kuna mmoja nilimuona kavaa kichupi kabisa halafu anahangaika kukashusha..aibu niliona mimi
Kwanza kama hujazoea hata pensi ya kawaida huwezi kuvaa na kutoka nayo... Kuna hivi wanavaa skuizi ni kama viutumbo fulani, vinabana ngozi chini wanapiga na viraba vyao hawana habari🤣🤣🤣🤣.

Kuna haja ya jando kurudishwa, maana kuna watu wanashindwa kutambua mipaka ya jinsia zao kwasababu hawakuambiwa kiume zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…