Ha ha ha hiyo kukaa kifuani si nayo kaziukiona mwanaume nimekaa sana kifuani ujue sina kazi ya kufanya hivyo sina hela ya kukupa
hicho ndo nachoweza
lazima ufanye kazi hii kama kazi ya kutafuta hela imekushindaHa ha ha hiyo kukaa kifuani si nayo kazi
Usituseme utaachika hivi huoni aibu kuomba pesaTena hawa kabila lao linaanzia na WA na kuisha na RE wengi wao wana hizi mambo awe amekulia kijijini hahahahahaha
Tuliambiwa tule kwa jasho lenuuuWanawake hamweleweki
Tumiwapa pesa bila kuwakuna vizuri mnatafuta ben10
Tukiwakuna vizur bila pesa mnatafuta sponsor.
Kuweni na huruma hata sisi ni binaadamu tunapenda zawadi na kupetiwapetiwa sio kila siku tu kutoa.
kampuni nipate wapiHuna mawazo ya kutafuta hela kampuni yangu imeyumba unawaza kugegedana tu
Nmekumbuka mbali manake nmewahi kusikia mfano wa hilo kabila la wapare hatari kweliUwiiiii wacha kabisaaa
Hahahah mm hapana kwa kweli