Wanaume wanaofanya sana mapenzi wabahili!

Wanaume wanaofanya sana mapenzi wabahili!

Unapata lako la kimoja chali halafu lina hela ukitoka hapo unawahi kwa anayejua kukusonga kama ugali.
Maisha kusaidiana ati
 
Ninae anasoma hapa hapa,nampenda kweli japo ananikanda na kunipekecha kama mlenda na pesa ipo ha ha ha ha
inawezekana maombi yakawa magumu kwakuwa anasoma hapa
vipi akiwa hasomi maombi yanakuwaje ??
yatafikiriwa ??
 
Back
Top Bottom