GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mtaalam wa saikolojia ya mapenzi na kungonoka ambaye amefanya Exclusive Interview nami GENTAMYCINE amesema kuwa 99% ya wanaume ambao hupenda kubandua (kutia ) bao mbili tu, huwa na afya njema na akili zao kuwa kubwa kuliko ile mipopoma inayopenda kufanya goli tatu (hat-rick ) au zaidi, ambao kwa 100% huwa na afya duni na uwezo wao wa kufikiri (kiakili) huwa ni mdogo na huwa hata hawana tija ya kimaendeleo katika familia na jamii zinazowazunguka.
Na kesho nakuja na kali kuliko zote!
Na kesho nakuja na kali kuliko zote!