mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,106
- 3,158
Mada haijazungumzia wakati gani wa kuhonga mkuu,unaweza usihonge wakati kutongoza na ukafanikiwa kula mzigo lakini kadri muda unavyojongea ukajikuta unahonga.Huwezi mtenganisha mwanaume na kuhongaKutongoza demu kwa kumhonga ni udhaifu kwa mwanaume yan hujiamini
Watu kama hawa utakuta mke/hawara yake kafubaa kisa kakosa matunzoAnzisha mgomo kuelekea Ikulu..kupinga wanawake kuhongwa...Sidhani Kama SIRO ataingilia
Unaweza kutenganisha vizuri tu. Sema kama umezoa huwez kuonaMada haijazungumzia wakati gani wa kuhonga mkuu,unaweza usihonge wakati kutongoza na ukafanikiwa kula mzigo lakini kadri muda unavyojongea ukajikuta unahonga.Huwezi mtenganisha mwanaume na kuhonga
Ni haki ya kila mwanamke kutunza na mume wake. Kama ni mchumba wake inategemea na makubaliano yenu yalikua ni nini? Ila jua kuna tofauti kati ya kumtunza mke na kumhongaWatu kama hawa utakuta mke/hawara yake kafubaa kisa kakosa matunzo
Tutahonga tu wacha wakasirike tuWanatuita 'Mabuzi' basi tutaendelea kuhonga hadi siku waseme imetosha!
Hahahaaa! we ndo hujui mkuu,kuhonga kunaongeza ladha katika mapenzi.Unaweza kutenganisha vizuri tu. Sema kama umezoa huwez kuona
Hata kama ni mpenzi,kuna ubaya gani ukimhonga ili apendeze na azidi kukuvutia? au ana shida na uwezo unao ila hutaki kumtatulia unaona raha gani.Na bahati nzuri umeeleza vizuri dhumuni la hongo.Wanaume tumetofautiana namna ya kumkabili mwanamke,unataka madomo zege wakaponee wapi?Ni haki ya kila mwanamke kutunza na mume wake. Kama ni mchumba wake inategemea na makubaliano yenu yalikua ni nini? Ila jua kuna tofauti kati ya kumtunza mke na kumhonga
Hao madomo zege wana mikato yao sema wanapenda ambavyo siyo size yao ndio mana inabidi waforce hata kwa mali au pesa nyingiHata kama ni mpenzi,kuna ubaya gani ukimhonga ili apendeze na azidi kukuvutia? au ana shida na uwezo unao ila hutaki kumtatulia unaona raha gani.Na bahati nzuri umeeleza vizuri dhumuni la hongo.Wanaume tumetofautiana namna ya kumkabili mwanamke,unataka madomo zege wakaponee wapi?
Hahahahaaa, lakini mkuu ukumbuke kupata kupata tu haijalishi umepatajeHao madomo zege wana mikato yao sema wanapenda ambavyo siyo size yao ndio mana inabidi waforce hata kwa mali au pesa nyingi
Huko siyo kuhonga ni kumtunza mpenzi wakoHata kama ni mpenzi,kuna ubaya gani ukimhonga ili apendeze na azidi kukuvutia? au ana shida na uwezo unao ila hutaki kumtatulia unaona raha gani.Na bahati nzuri umeeleza vizuri dhumuni la hongo.Wanaume tumetofautiana namna ya kumkabili mwanamke,unataka madomo zege wakaponee wapi?