Hujaelewa content,kichwa mzigo Kwa mwili...Ni mwendo kufukuana topez tu, yaani mtumishi anajua fika Padre wake anakazwa...Hongereni Katoliki.
NdioKwa hiyo wanawake mabikira lakini wanaume watinduliwe au sio?
Soma mwenyewe hapo uelewe ndugu, usiogozwe na kichwa cha habari maana mleta mada anaweza akawa hajui lughaKitendo Cha kutokukemea ushonga Bali kuwapaka mafuta sio sawa.
Hii sio kazi ya Kanisa! ... Mwili wa Kristo kwa Huduma zake 5 una jukumu na kukemea, kupinga hii ya kishoga pamoja na kuwaponya na kuwarejesha watu katika njia iliyo sahihi.
I do respect Roman Catholic ila hiii sawa
Ndugu ushapewa ruksa, usijifiche nenda.Heading haijakaa vizuri. Unaliaibisha kanisa.
Ni tatizo la wote tu, hata matukio yanayoripotiwa kutoka Zanzibar ni mengi pengine kuliko mikoa yote ya TanzaniaKwa wàgalatia kuna shida sàna. Dini imefanywa kama danguro tuu. Kila siku kutafuta sababu za kuhalalisha kufirn.
Mtalichafua sana kanisa, lakini halitachafuka.Kanisa Katoliki la Italia limefungua milango yake kwa wanaume mashoga kujiunga na masomo ya upadre, mradi wasiendelee kupigia debe au kuunga mkono kile kinachoitwa "utamaduni wa mashoga," kulingana na miongozo mipya iliyothibitishwa na Vatican.
Miongozo hii, iliyotolewa na Shirikisho la Maaskofu la Italia na kuchapishwa mtandaoni Alhamisi, inaendelea kuzingatia umuhimu wa nadharia ya ubikira, huku ikiruhusu wanaume mashoga kujiunga na mafunzo ya upadre chini ya masharti fulani.
Sehemu maalum ya nyaraka hii ya kurasa 68 inahusu watu wenye "mwelekeo wa ushoga" wanaotaka kujiunga na seminari au kugundua mwelekeo wao wakati wa mafunzo.
"Kanisa, huku likiheshimu sana watu hao, haliwezi kuwaingiza seminary na kwenye Ordo Takatifu wale wanaofanya ushoga, wana mwelekeo wa ushoga uliojizatiti au wanaunga mkono kile kinachoitwa utamaduni wa mashoga," inasema miongozo hiyo.
Hata hivyo, nyaraka hii inasisitiza kuwa Kanisa lizingatie utu wa mgombea, likiwa na lengo la kulea mapadri wanaoweza kudumisha ubikira na celibacy kama wito wao.
View attachment 3203094View attachment 3203095
Kanisa, huku likiheshimu sana watu hao, haliwezi kuwaingiza seminary na kwenye Ordo Takatifu wale wanaofanya ushoga, wana mwelekeo wa ushoga uliojizatiti au wanaunga mkono kile kinachoitwa utamaduni wa mashoga," inasema miongozo hiyo.🙌🏿🙌🏿😭😭Kanisa Katoliki la Italia limefungua milango yake kwa wanaume mashoga kujiunga na masomo ya upadre, mradi wasiendelee kupigia debe au kuunga mkono kile kinachoitwa "utamaduni wa mashoga," kulingana na miongozo mipya iliyothibitishwa na Vatican.
Miongozo hii, iliyotolewa na Shirikisho la Maaskofu la Italia na kuchapishwa mtandaoni Alhamisi, inaendelea kuzingatia umuhimu wa nadharia ya ubikira, huku ikiruhusu wanaume mashoga kujiunga na mafunzo ya upadre chini ya masharti fulani.
Sehemu maalum ya nyaraka hii ya kurasa 68 inahusu watu wenye "mwelekeo wa ushoga" wanaotaka kujiunga na seminari au kugundua mwelekeo wao wakati wa mafunzo.
"Kanisa, huku likiheshimu sana watu hao, haliwezi kuwaingiza seminary na kwenye Ordo Takatifu wale wanaofanya ushoga, wana mwelekeo wa ushoga uliojizatiti au wanaunga mkono kile kinachoitwa utamaduni wa mashoga," inasema miongozo hiyo.
Hata hivyo, nyaraka hii inasisitiza kuwa Kanisa lizingatie utu wa mgombea, likiwa na lengo la kulea mapadri wanaoweza kudumisha ubikira na celibacy kama wito wao.
View attachment 3203094View attachment 3203095
Hili kanisa Sasa daaah ...wanaume tutunze vijambio vyetu ...umeenda Kwa paroko ghafla anakuomba umtindueKanisa Katoliki la Italia limefungua milango yake kwa wanaume mashoga kujiunga na masomo ya upadre, mradi wasiendelee kupigia debe au kuunga mkono kile kinachoitwa "utamaduni wa mashoga," kulingana na miongozo mipya iliyothibitishwa na Vatican.
Miongozo hii, iliyotolewa na Shirikisho la Maaskofu la Italia na kuchapishwa mtandaoni Alhamisi, inaendelea kuzingatia umuhimu wa nadharia ya ubikira, huku ikiruhusu wanaume mashoga kujiunga na mafunzo ya upadre chini ya masharti fulani.
Sehemu maalum ya nyaraka hii ya kurasa 68 inahusu watu wenye "mwelekeo wa ushoga" wanaotaka kujiunga na seminari au kugundua mwelekeo wao wakati wa mafunzo.
"Kanisa, huku likiheshimu sana watu hao, haliwezi kuwaingiza seminary na kwenye Ordo Takatifu wale wanaofanya ushoga, wana mwelekeo wa ushoga uliojizatiti au wanaunga mkono kile kinachoitwa utamaduni wa mashoga," inasema miongozo hiyo.
Hata hivyo, nyaraka hii inasisitiza kuwa Kanisa lizingatie utu wa mgombea, likiwa na lengo la kulea mapadri wanaoweza kudumisha ubikira na celibacy kama wito wao.
View attachment 3203094View attachment 3203095
Wapi?😅Ndugu ushapewa ruksa, usijifiche nenda.
Ilitakiwa ikaaje?Heading haijakaa vizuri. Unaliaibisha kanisa.