Wanaume wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja ruksa kujiunga na Upadre

Kitendo Cha kutokukemea ushonga Bali kuwapaka mafuta sio sawa.

Hii sio kazi ya Kanisa! ... Mwili wa Kristo kwa Huduma zake 5 una jukumu na kukemea, kupinga hii ya kishoga pamoja na kuwaponya na kuwarejesha watu katika njia iliyo sahihi.

I do respect Roman Catholic ila hiii sawa
Soma mwenyewe hapo uelewe ndugu, usiogozwe na kichwa cha habari maana mleta mada anaweza akawa hajui lugha
 
Kanisa Katoliki la Italia limefungua milango yake kwa wanaume mashoga kujiunga na masomo ya upadre, mradi wasiendelee kupigia debe au kuunga mkono kile kinachoitwa "utamaduni wa mashoga," kulingana na miongozo mipya iliyothibitishwa na Vatican.

Miongozo hii, iliyotolewa na Shirikisho la Maaskofu la Italia na kuchapishwa mtandaoni Alhamisi, inaendelea kuzingatia umuhimu wa nadharia ya ubikira, huku ikiruhusu wanaume mashoga kujiunga na mafunzo ya upadre chini ya masharti fulani.

Sehemu maalum ya nyaraka hii ya kurasa 68 inahusu watu wenye "mwelekeo wa ushoga" wanaotaka kujiunga na seminari au kugundua mwelekeo wao wakati wa mafunzo.

"Kanisa, huku likiheshimu sana watu hao, haliwezi kuwaingiza seminary na kwenye Ordo Takatifu wale wanaofanya ushoga, wana mwelekeo wa ushoga uliojizatiti au wanaunga mkono kile kinachoitwa utamaduni wa mashoga," inasema miongozo hiyo.

Hata hivyo, nyaraka hii inasisitiza kuwa Kanisa lizingatie utu wa mgombea, likiwa na lengo la kulea mapadri wanaoweza kudumisha ubikira na celibacy kama wito wao.

View attachment 3203094View attachment 3203095
Mtalichafua sana kanisa, lakini halitachafuka.
 
Hili ni dhehebu langu KANISA MOJA TAKATIFU KATOLIKI LA MITUME ila Sasa hii ni too much.
Nafikiri ifike wakati Africa sasa ijitenge na Vatican iwe African Catholic na sio Roman Catholic.
Tuwe na kanisa linalodumisha Mila, tamaduni na desturi zetu sisi kama Waafrika.
Makadrinali na Maaskofu wa Africa huu ndio wakati wenu wa kuchora mstari mwekundu.
 
Kanisa Katoliki la Italia limefungua milango yake kwa wanaume mashoga kujiunga na masomo ya upadre, mradi wasiendelee kupigia debe au kuunga mkono kile kinachoitwa "utamaduni wa mashoga," kulingana na miongozo mipya iliyothibitishwa na Vatican.

Miongozo hii, iliyotolewa na Shirikisho la Maaskofu la Italia na kuchapishwa mtandaoni Alhamisi, inaendelea kuzingatia umuhimu wa nadharia ya ubikira, huku ikiruhusu wanaume mashoga kujiunga na mafunzo ya upadre chini ya masharti fulani.

Sehemu maalum ya nyaraka hii ya kurasa 68 inahusu watu wenye "mwelekeo wa ushoga" wanaotaka kujiunga na seminari au kugundua mwelekeo wao wakati wa mafunzo.

"Kanisa, huku likiheshimu sana watu hao, haliwezi kuwaingiza seminary na kwenye Ordo Takatifu wale wanaofanya ushoga, wana mwelekeo wa ushoga uliojizatiti au wanaunga mkono kile kinachoitwa utamaduni wa mashoga," inasema miongozo hiyo.

Hata hivyo, nyaraka hii inasisitiza kuwa Kanisa lizingatie utu wa mgombea, likiwa na lengo la kulea mapadri wanaoweza kudumisha ubikira na celibacy kama wito wao.

View attachment 3203094View attachment 3203095
Kanisa, huku likiheshimu sana watu hao, haliwezi kuwaingiza seminary na kwenye Ordo Takatifu wale wanaofanya ushoga, wana mwelekeo wa ushoga uliojizatiti au wanaunga mkono kile kinachoitwa utamaduni wa mashoga," inasema miongozo hiyo.🙌🏿🙌🏿😭😭
 
Duh siwaoni hpa wale wazee wa uzushi wa bikra 72 hhhhh

Ukristo dah
 
Mimi naomba kuulizia la kizushi:
1. Mwizi hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
2. Muongo hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
3. Muuaji hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
4. Mzinzi hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
5. Mshirikina hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
6. Anayetamani mali au mke wa mtu hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?

Kwa nini ushoga unaonekana kama 'dhambi maalum' na kwamba haistahili kusamehewa na binadamu?
 
.
 
Attachments

  • Screenshot_20241005_010637_WhatsAppBusiness.jpg
    Screenshot_20241005_010637_WhatsAppBusiness.jpg
    324.7 KB · Views: 2
Katoriki siyo Kanisa la Mungu ujue!
Mungu anazidi kumdhihirisha Mpinga Kristo!
Vatcan ni Pango la Mashetani mf.Ushoga,Umafia,Madawa ya kulevya,nk
Wakatoriki shitukeni msiendelee kushiriki dhambi zake.
 
Papa alianza kitambo pole pole tu.
 
Attachments

  • Screenshot_20241005_010653_WhatsAppBusiness.jpg
    Screenshot_20241005_010653_WhatsAppBusiness.jpg
    464.1 KB · Views: 2
Kanisa Katoliki la Italia limefungua milango yake kwa wanaume mashoga kujiunga na masomo ya upadre, mradi wasiendelee kupigia debe au kuunga mkono kile kinachoitwa "utamaduni wa mashoga," kulingana na miongozo mipya iliyothibitishwa na Vatican.

Miongozo hii, iliyotolewa na Shirikisho la Maaskofu la Italia na kuchapishwa mtandaoni Alhamisi, inaendelea kuzingatia umuhimu wa nadharia ya ubikira, huku ikiruhusu wanaume mashoga kujiunga na mafunzo ya upadre chini ya masharti fulani.

Sehemu maalum ya nyaraka hii ya kurasa 68 inahusu watu wenye "mwelekeo wa ushoga" wanaotaka kujiunga na seminari au kugundua mwelekeo wao wakati wa mafunzo.

"Kanisa, huku likiheshimu sana watu hao, haliwezi kuwaingiza seminary na kwenye Ordo Takatifu wale wanaofanya ushoga, wana mwelekeo wa ushoga uliojizatiti au wanaunga mkono kile kinachoitwa utamaduni wa mashoga," inasema miongozo hiyo.

Hata hivyo, nyaraka hii inasisitiza kuwa Kanisa lizingatie utu wa mgombea, likiwa na lengo la kulea mapadri wanaoweza kudumisha ubikira na celibacy kama wito wao.

View attachment 3203094View attachment 3203095
Hili kanisa Sasa daaah ...wanaume tutunze vijambio vyetu ...umeenda Kwa paroko ghafla anakuomba umtindue
 
Back
Top Bottom