Wanaume wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja ruksa kujiunga na Upadre

1-Mwizi akiiba haibadirishi jinsia yake na kuuvua utu wake.

2-Muongo habadiriki jinsia yake baada ya kutenda dhambi ya kudanganya.

3-Muuaji anaondoa uhai bila kumbadiri jinsia victim.

4-Mzinzi anafanya uzinzi kwa kufuata misingi ile ile aliyoumbwa nayo yeye na mzinzi mwenzie…mwanamke + mwanaume, hawabadiriki jinsia kwa kufanya uzinzi.

5- Mshirikina yeye yuko na special place, kheri pengine hata ya shoga, ila mshirikina yeye anamshirikisha Mungu katika mamlaka yake habadiriki wala hambadirishi mtu jinsia kwa kuwa/kufanya ushirikina.

6- Tamaa ya mali au mke/mume wa mtu haiwezi kukufanya ubadirike jinsia.

Ni aibu na fedheha sio kwako tu wewe unaeingiliwa kwenye tundu la kutolea uchafu/kinyesi ila kwa jamaa zako na jamii yako ya karibu na ile inayokuzunguka.

Kumbuka huyu Msenge hakujiumba wala kujileta hapa duniani na yeye sio kisiwa hapa duniani. Utu wake unalindwa na kukamishwa na watu wengine ndani ya jamii.

Ndio ni binaadam wengi sana wenye matendo na fantasies za ajabu wanapokua faragha, lakini yanabaki faragha.

Hakuna sababu wala umuhimu wa Wasenge kutambuliwa na kuthaminiwa Kama wanavyo demand wao, it’s pure blasphemy!!
 
Wala hawatakiwi kutubu dhambi zao hizo wanazofanya, kuziacha na kisha kumtumikia Mungu, unamaanisha hivyo?
Wewe Kama unataka kukanyagwa wakuvunje huo uanaume wako endelea kwa raha zako ila utambue huo ni uchafu na ushenzi ulipitiliza mpaka kipimo cha utu maana hata Hayawani mwituni hathubutu!!

Enjoy cracking your Asshole✌️
 
Mimi naomba kuulizia la kizushi:
1. Mwizi hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
2. Muongo hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
3. Muuaji hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
4. Mzinzi hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
5. Mshirikina hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
6. Anayetamani mali au mke wa mtu hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?

Kwa nini ushoga unaonekana kama 'dhambi maalum' na kwamba haistahili kusamehewa na binadamu?

Cc Lupweko
 
DA!!!! unakamapata PADRE alaf unjipigia zako TATU MZUKA!!! alaf anakubariki kwa shoo kali
 
Wewe Kama unataka kukanyagwa wakuvunje huo uanaume wako endelea kwa raha zako ila utambue huo ni uchafu na ushenzi ulipitiliza mpaka kipimo cha utu maana hata Hayawani mwituni hathubutu!!

Enjoy cracking your Asshole✌️
Hizi ni kauli za mtu aliyeishiwa hoja katika mjadala. Mimi hoja yangu ninayoisimamia na nitakayoendelea kuisimamia ni kwamba dhambi zote ni machukizo mbele ya Mungu, hakuna dhambi nzuri hata kidogo. Lakini pia kwa msingi wa imani yangu ni kwamba binadamu anayo nafasi ya kubadilika muda wowote kwa kutubu, kuacha dhambi na kumrudia Mungu

Mathayo 21:28-32
28 Lakini mwaonaje? Mtu mmoja alikuwa na wana wawili; akamwendea yule wa kwanza, akasema, Mwanangu, leo nenda kafanye kazi katika shamba la mizabibu.
29 Akajibu akasema, Naenda, Bwana; asiende.
30 Akamwendea yule wa pili, akasema vile vile. Naye akajibu akasema, Sitaki; baadaye akatubu, akaenda.
31 Je! Katika hao wawili ni yupi aliyefanya mapenzi ya babaye? Wakamwambia, Ni yule wa pili. Basi Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.
32 Kwa sababu Yohana alikuja kwenu kwa njia ya haki, ninyi msimwamini; lakini watoza ushuru na makahaba walimwamini, nanyi hata mlipoona, hamkutubu baadaye, ili kumwamini.
 
weww jamaa na wewe ni walewale nini!!!!!,,,,,,,,,,dhambi zote ulizotaja haziendani na ushoga ivi unafikiri kushindiliwa uume na mwanaume mwenzako ni mchezo?
 
coach salman said uko sawa,huyu jamaa nadhani ni walewale,,,,,,,anatetea usenge,anatembea amevaa pamppampas
 
I believe 80% ya wanaocomment hawajasoma hii habari, wameishia kwenye heading na kubebwa na upepo wa aliyeandika heading. Kwa lugha nyingine, mleta mada amefanikiwa kuwalaghai wasoma heading
 
coach salman said uko sawa,huyu jamaa nadhani ni walewale,,,,,,,anatetea usenge,anatembea amevaa pamppampas
Nimeweka vifungu vya Biblia, na wewe weka vifungu vinavyosupport kwamba mtu akitenda dhambi fulani hawezi kutubu, na wala hatarudisha uhusiano tena na Mungu. Weka kutoka kitabu chochote ili tujue misimamo ya imani mbalimbali kuhusu kutenda dhambi na kutubu
 
siwezi kujibu upuuzi,ivi unafikiri kwa nini MUNGU alilipua sodoma na gomora???,,eti????,,,,,una fikiri kwa nini MUNGU alimwambia nuhu atengeneze safina na kuweka pair za viumbe majike kwa madume???,,,ivi unafikikiri kwa nini malaika walioenda kutoa ujumbe wa gharika kwa nuhu waliwapiga upofu wale jamaa waliotaka kulawti mpaka malaika?,,,ivi unafikiri kwa nini mke wa nuhu alibadilika na mnara wa chumvi baada ya kutotii amri ya kugeuka nyuma???''''sasa wewe nitajie sehemu ambayo MUNGU alitoa adhabu kali kwa wezi au mji aliouteketeza kama sodoma na gomora kwa ajili yawizi.....acha "kutetea UCHAFU WAKO "
 
kmmmk yaani jitu litatoka kuliwa Yas ninakuja kusimama mbele yako eti linakuhubiria kuhusu mambo ya Mungu kheeeee hii sasa kali aisee, anyway ndiomaana huko asia wakaamua kuabudu makitu yasiyoeleweka tu maana binadamu sasa wamechoka.
Kuliwa YAS πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Cc: Extrovert
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…