MasterGamaliel
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 923
- 1,001
Tatizo lipo kwenye kuwa kupendelewa wenye dhambi hiyo. Heri padri mzinzi kuliko hao.Kuna tatizo mtu kuacha dhambi na kumtumikia Mungu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lipo kwenye kuwa kupendelewa wenye dhambi hiyo. Heri padri mzinzi kuliko hao.Kuna tatizo mtu kuacha dhambi na kumtumikia Mungu?
1-Mwizi akiiba haibadirishi jinsia yake na kuuvua utu wake.Mimi naomba kuulizia la kizushi:
1. Mwizi hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
2. Muongo hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
3. Muuaji hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
4. Mzinzi hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
5. Mshirikina hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
6. Anayetamani mali au mke wa mtu hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
Kwa nini ushoga unaonekana kama 'dhambi maalum' na kwamba haistahili kusamehewa na binadamu?
Wala hawatakiwi kutubu dhambi zao hizo wanazofanya, kuziacha na kisha kumtumikia Mungu, unamaanisha hivyo?Hakuna sababu wala umuhimu wa Wasenge kutambuliwa na kuthaminiwa
Wewe Kama unataka kukanyagwa wakuvunje huo uanaume wako endelea kwa raha zako ila utambue huo ni uchafu na ushenzi ulipitiliza mpaka kipimo cha utu maana hata Hayawani mwituni hathubutu!!Wala hawatakiwi kutubu dhambi zao hizo wanazofanya, kuziacha na kisha kumtumikia Mungu, unamaanisha hivyo?
Meza gani Coach?Meza imeanza kutikiswa kupima uwezekano na muelekeo wa kuipindua…
Let’s brace ourselves for impact, any impact!
Mimi naomba kuulizia la kizushi:Hakuna cha lugha ngeni hapo, Vatican imeruhusu kiangalifu wanaume wanao/waliowahi kushughulikiwa au wabomoaji kujiunga na useminary ili waje kuwa mapadri kwa sharti la wao kuacha ukundufu.
Kuficha ficha core problem kwa kisingizio cha watu kuwa hawajaelewa lugha ni ama kushiriki au kufumbia macho ussengen huo.
DA!!!! unakamapata PADRE alaf unjipigia zako TATU MZUKA!!! alaf anakubariki kwa shoo kaliKanisa Katoliki la Italia limefungua milango yake kwa wanaume mashoga kujiunga na masomo ya upadre, mradi wasiendelee kupigia debe au kuunga mkono kile kinachoitwa "utamaduni wa mashoga," kulingana na miongozo mipya iliyothibitishwa na Vatican.
Miongozo hii, iliyotolewa na Shirikisho la Maaskofu la Italia na kuchapishwa mtandaoni Alhamisi, inaendelea kuzingatia umuhimu wa nadharia ya ubikira, huku ikiruhusu wanaume mashoga kujiunga na mafunzo ya upadre chini ya masharti fulani.
Sehemu maalum ya nyaraka hii ya kurasa 68 inahusu watu wenye "mwelekeo wa ushoga" wanaotaka kujiunga na seminari au kugundua mwelekeo wao wakati wa mafunzo.
"Kanisa, huku likiheshimu sana watu hao, haliwezi kuwaingiza seminary na kwenye Ordo Takatifu wale wanaofanya ushoga, wana mwelekeo wa ushoga uliojizatiti au wanaunga mkono kile kinachoitwa utamaduni wa mashoga," inasema miongozo hiyo.
Hata hivyo, nyaraka hii inasisitiza kuwa Kanisa lizingatie utu wa mgombea, likiwa na lengo la kulea mapadri wanaoweza kudumisha ubikira na celibacy kama wito wao.
View attachment 3203094View attachment 3203095
Hizi ni kauli za mtu aliyeishiwa hoja katika mjadala. Mimi hoja yangu ninayoisimamia na nitakayoendelea kuisimamia ni kwamba dhambi zote ni machukizo mbele ya Mungu, hakuna dhambi nzuri hata kidogo. Lakini pia kwa msingi wa imani yangu ni kwamba binadamu anayo nafasi ya kubadilika muda wowote kwa kutubu, kuacha dhambi na kumrudia MunguWewe Kama unataka kukanyagwa wakuvunje huo uanaume wako endelea kwa raha zako ila utambue huo ni uchafu na ushenzi ulipitiliza mpaka kipimo cha utu maana hata Hayawani mwituni hathubutu!!
Enjoy cracking your Asshole✌️
weww jamaa na wewe ni walewale nini!!!!!,,,,,,,,,,dhambi zote ulizotaja haziendani na ushoga ivi unafikiri kushindiliwa uume na mwanaume mwenzako ni mchezo?Mimi naomba kuulizia la kizushi:
1. Mwizi hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
2. Muongo hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
3. Muuaji hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
4. Mzinzi hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
5. Mshirikina hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
6. Anayetamani mali au mke wa mtu hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
Kwa nini ushoga unaonekana kama 'dhambi maalum' na kwamba haistahili kusamehewa na binadamu?
Cc Lupweko
coach salman said uko sawa,huyu jamaa nadhani ni walewale,,,,,,,anatetea usenge,anatembea amevaa pamppampasHizi ni kauli za mtu aliyeishiwa hoja katika mjadala. Mimi hoja yangu ninayoisimamia na nitakayoendelea kuisimamia ni kwamba dhambi zote ni machukizo mbele ya Mungu, hakuna dhambi nzuri hata kidogo. Lakini pia kwa msingi wa imani yangu ni kwamba binadamu anayo nafasi ya kubadilika muda wowote kwa kutubu, kuacha dhambi na kumrudia Mungu
Mathayo 21:28-32
28 Lakini mwaonaje? Mtu mmoja alikuwa na wana wawili; akamwendea yule wa kwanza, akasema, Mwanangu, leo nenda kafanye kazi katika shamba la mizabibu.
29 Akajibu akasema, Naenda, Bwana; asiende.
30 Akamwendea yule wa pili, akasema vile vile. Naye akajibu akasema, Sitaki; baadaye akatubu, akaenda.
31 Je! Katika hao wawili ni yupi aliyefanya mapenzi ya babaye? Wakamwambia, Ni yule wa pili. Basi Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.
32 Kwa sababu Yohana alikuja kwenu kwa njia ya haki, ninyi msimwamini; lakini watoza ushuru na makahaba walimwamini, nanyi hata mlipoona, hamkutubu baadaye, ili kumwamini.
Nimeweka vifungu vya Biblia, na wewe weka vifungu vinavyosupport kwamba mtu akitenda dhambi fulani hawezi kutubu, na wala hatarudisha uhusiano tena na Mungu. Weka kutoka kitabu chochote ili tujue misimamo ya imani mbalimbali kuhusu kutenda dhambi na kutubucoach salman said uko sawa,huyu jamaa nadhani ni walewale,,,,,,,anatetea usenge,anatembea amevaa pamppampas
Sawa mkuuweww jamaa na wewe ni walewale nini!!!!!,,,,,,,,,,dhambi zote ulizotaja haziendani na ushoga ivi unafikiri kushindiliwa uume na mwanaume mwenzako ni mchezo?
siwezi kujibu upuuzi,ivi unafikiri kwa nini MUNGU alilipua sodoma na gomora???,,eti????,,,,,una fikiri kwa nini MUNGU alimwambia nuhu atengeneze safina na kuweka pair za viumbe majike kwa madume???,,,ivi unafikikiri kwa nini malaika walioenda kutoa ujumbe wa gharika kwa nuhu waliwapiga upofu wale jamaa waliotaka kulawti mpaka malaika?,,,ivi unafikiri kwa nini mke wa nuhu alibadilika na mnara wa chumvi baada ya kutotii amri ya kugeuka nyuma???''''sasa wewe nitajie sehemu ambayo MUNGU alitoa adhabu kali kwa wezi au mji aliouteketeza kama sodoma na gomora kwa ajili yawizi.....acha "kutetea UCHAFU WAKO "Nimeweka vifungu vya Biblia, na wewe weka vifungu vinavyosupport kwamba mtu akitenda dhambi fulani hawezi kutubu, na wala hatarudisha uhusiano tena na Mungu. Weka kutoka kitabu chochote ili tujue misimamo ya imani mbalimbali kuhusu kutenda dhambi na kutubu
Meza ya Dunia.Meza gani Coach?
Kuna raha yake 😂😂😂😂Imagine padri wako anagawa kinyeo aisee
Sio mchezo, ni RAHA.ivi unafikiri kushindiliwa uume na mwanaume mwenzako ni mchezo?
Kuliwa YAS 😂😂😂😂kmmmk yaani jitu litatoka kuliwa Yas ninakuja kusimama mbele yako eti linakuhubiria kuhusu mambo ya Mungu kheeeee hii sasa kali aisee, anyway ndiomaana huko asia wakaamua kuabudu makitu yasiyoeleweka tu maana binadamu sasa wamechoka.