Wanaume wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja ruksa kujiunga na Upadre

Upeo wa a typical Isle man. Elimu ya darasa ni muhimu sana, this gap could have been filled
Njoo nikuinamishe...Achana na hivyo viingereza visivyo na tija.....Viingereza vingi, output kazini ni 0%....Eti Elimu...Wewe hauna Elimu kuliko Mimi (Nakuhakikishia)...Usione tunapiga story hapa JF....Niko na Elimu ya Kutosha, na Shughuli za maana za kufanya...
 
Sasa mapadre hawaoi sasa watajuaje kama ni shoga au sio..
Mashoga wenyewe wanajijua kama ni mashoga. Wanasema homones zao zinawaambia hivyo. Kwahiyo wenyewe wanajijua
 
Ni kwasababu wanaamini kwamba shoga kaumbwa hivyo alivyo
 
Ni kwasababu wanaamini kwamba shoga kaumbwa hivyo alivyo
OK. Kama kaumbwa hivyo alivyo si ingelikuwa sahihi lawama au kama ni dhambi basi dhambi au lawama hizo zielekezwe kwa huyo aliyemuumba hivyo? Kwani yeye aliomba aumbwe hivyo?
 
OK. Kama kaumbwa hivyo alivyo si ingelikuwa sahihi lawama au kama ni dhambi basi dhambi au lawama hizo zielekezwe kwa huyo aliyemuumba hivyo? Kwani yeye aliomba aumbwe hivyo?
Ndio maana wanalegeza masharti hata kuruhusiwa kuwa mapadre maana si makosa yake bali ya muumba wake according to wao.
 
WOOTE hao kuanzia na. 1- 6 na zaidi ya hao wanaweza kuja kuwa padri. (Sijui kuhusu mchungaji au shehe kwani mm sio wa Imani na miongozo inayohusika)
Ukitaka (kama itakupendeza) ninaweza kukuorodheshea au kukutajia mifano ya baadhi ya watu maarufu waliokuwa wamekubuhu kwenye hayo madhambi uliyotaja lakini baadaye walisamehewa na maisha yakaendelea.
Karibu.
 
Ndio maana wanalegeza masharti hata kuruhusiwa kuwa mapadre maana si makosa yake bali ya muumba wake according to wao.
Halafu ujue kwamba hawa ndugu wanaotafsiri eti imeruhusiwa, watabarikiwa na blaa balaa nyingi hao sio wasemaji wa Vatican/Ofisi ya Papa. Ofisi yoyote ina utaratibu wa Mawasiliano. e.g. Wewe huwezi kujiamkia tu na kuanza kutoa habari e.g. Tanzania kumezuka kipindupindu cha hatari na Polisi wengi wamezagaa wako mitaani kuwasaka na kuwakamata wale wote wasio na vyoo.
Hiyo habari ni Uzushi na Inazua hofu na mtafaruku miongoni mwa Jamii. Lazima Utashughulikiwa Kisheria.
Kwa mfano huo, Ofisi ya Papa inaye Msemaji wake na Taarifa au Maelekezo yoyote kutoka Ofisi hiyo huwa yanatoka kwa maandishi au Waraka wa Papa. Sio sawa kila anayejisikia aanze kutafsiri, kufafanua juu ya waraka huo au kuusambaza bila idhini ya mtoa Waraka. Hiyo ni fujo.
 
Upo sahihi mkuu, labda watueleze source ya habari yenyewe, kama ni document au video
 
Upo sahihi mkuu, labda watueleze source ya habari yenyewe, kama ni document au video
Ukiwadai source ya habari wataweka link ya BBC. Lugha rasmi (Official language for communication)ya mawasiliano Vatican ni Kilatini. Sasa wabongo na Kilatini wapi na wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…