Mpemba Mimi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 1,656
- 2,483
Njoo nikuinamishe...Achana na hivyo viingereza visivyo na tija.....Viingereza vingi, output kazini ni 0%....Eti Elimu...Wewe hauna Elimu kuliko Mimi (Nakuhakikishia)...Usione tunapiga story hapa JF....Niko na Elimu ya Kutosha, na Shughuli za maana za kufanya...Upeo wa a typical Isle man. Elimu ya darasa ni muhimu sana, this gap could have been filled