Wanaume wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja ruksa kujiunga na Upadre

Kanisa Katoliki la Italia limefungua milango yake kwa wanaume mashoga kujiunga na masomo ya upadre, mradi wasiendelee kupigia debe au kuunga mkono kile kinachoitwa "utamaduni wa mashoga," kulingana na miongozo mipya iliyothibitishwa na Vatican.

Miongozo hii, iliyotolewa na Shirikisho la Maaskofu la Italia na kuchapishwa mtandaoni Alhamisi, inaendelea kuzingatia umuhimu wa nadharia ya ubikira, huku ikiruhusu wanaume mashoga kujiunga na mafunzo ya upadre chini ya masharti fulani.

Sehemu maalum ya nyaraka hii ya kurasa 68 inahusu watu wenye "mwelekeo wa ushoga" wanaotaka kujiunga na seminari au kugundua mwelekeo wao wakati wa mafunzo.

"Kanisa, huku likiheshimu sana watu hao, haliwezi kuwaingiza seminary na kwenye Ordo Takatifu wale wanaofanya ushoga, wana mwelekeo wa ushoga uliojizatiti au wanaunga mkono kile kinachoitwa utamaduni wa mashoga," inasema miongozo hiyo.

Hata hivyo, nyaraka hii inasisitiza kuwa Kanisa lizingatie utu wa mgombea, likiwa na lengo la kulea mapadri wanaoweza kudumisha ubikira na celibacy kama wito wao.

View attachment 3203094View attachment 3203095
Kanisa la MACHOKO!
 
Hakuna cha lugha ngeni hapo, Vatican imeruhusu kiangalifu wanaume wanao/waliowahi kushughulikiwa au wabomoaji kujiunga na useminary ili waje kuwa mapadri kwa sharti la wao kuacha ukundufu.
Kuficha ficha core problem kwa kisingizio cha watu kuwa hawajaelewa lugha ni ama kushiriki au kufumbia macho ussengen huo.
Kuna tatizo mtu kuacha dhambi na kumtumikia Mungu?
 
Kanisa Katoliki la Italia limefungua milango yake kwa wanaume mashoga kujiunga na masomo ya upadre, mradi wasiendelee kupigia debe au kuunga mkono kile kinachoitwa "utamaduni wa mashoga," kulingana na miongozo mipya iliyothibitishwa na Vatican.

Miongozo hii, iliyotolewa na Shirikisho la Maaskofu la Italia na kuchapishwa mtandaoni Alhamisi, inaendelea kuzingatia umuhimu wa nadharia ya ubikira, huku ikiruhusu wanaume mashoga kujiunga na mafunzo ya upadre chini ya masharti fulani.

Sehemu maalum ya nyaraka hii ya kurasa 68 inahusu watu wenye "mwelekeo wa ushoga" wanaotaka kujiunga na seminari au kugundua mwelekeo wao wakati wa mafunzo.

"Kanisa, huku likiheshimu sana watu hao, haliwezi kuwaingiza seminary na kwenye Ordo Takatifu wale wanaofanya ushoga, wana mwelekeo wa ushoga uliojizatiti au wanaunga mkono kile kinachoitwa utamaduni wa mashoga," inasema miongozo hiyo.

Hata hivyo, nyaraka hii inasisitiza kuwa Kanisa lizingatie utu wa mgombea, likiwa na lengo la kulea mapadri wanaoweza kudumisha ubikira na celibacy kama wito wao.

View attachment 3203094View attachment 3203095
Hakuna kanisa hapa!
 
HAKUNA PAHALA WAMESEMA WAMERUHUSU AU WE MWENZETU UMESOMA WAPI? ATA LINK YAKO HAISEMI HIVYO. KWELI NDIO MAANA COMPREHENSION TULIFUNDISHWA ILA MARKS KILA MTU ANATOKA NA ZAKE.
 
Imagine padre asubuhi anapigwa morning glory vitatu ndio aende altareni kufundisha.. na anae mtupia vitatu ni muumini 🤮🤮🤮🤮
 
Padre anakulisha komunyo huku mikono ikiwa na vishahawa vilivyochanganyika na vimavimavi 😫😫😫😫
 
Kanisa Katoliki la Italia limefungua milango yake kwa wanaume mashoga kujiunga na masomo ya upadre, mradi wasiendelee kupigia debe au kuunga mkono kile kinachoitwa "utamaduni wa mashoga," kulingana na miongozo mipya iliyothibitishwa na Vatican.

Miongozo hii, iliyotolewa na Shirikisho la Maaskofu la Italia na kuchapishwa mtandaoni Alhamisi, inaendelea kuzingatia umuhimu wa nadharia ya ubikira, huku ikiruhusu wanaume mashoga kujiunga na mafunzo ya upadre chini ya masharti fulani.

Sehemu maalum ya nyaraka hii ya kurasa 68 inahusu watu wenye "mwelekeo wa ushoga" wanaotaka kujiunga na seminari au kugundua mwelekeo wao wakati wa mafunzo.

"Kanisa, huku likiheshimu sana watu hao, haliwezi kuwaingiza seminary na kwenye Ordo Takatifu wale wanaofanya ushoga, wana mwelekeo wa ushoga uliojizatiti au wanaunga mkono kile kinachoitwa utamaduni wa mashoga," inasema miongozo hiyo.

Hata hivyo, nyaraka hii inasisitiza kuwa Kanisa lizingatie utu wa mgombea, likiwa na lengo la kulea mapadri wanaoweza kudumisha ubikira na celibacy kama wito wao.

View attachment 3203094View attachment 3203095

MK254, yale mambo yenu, maoni yako tafadhali ..!
 
Kanisa Katoliki linanajisika sana aisee!
 
Kuna tatizo mtu kuacha dhambi na kumtumikia Mungu?

Mimi naomba kuulizia la kizushi:
1. Mwizi hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
2. Muongo hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
3. Muuaji hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
4. Mzinzi hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
5. Mshirikina hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
6. Anayetamani mali au mke wa mtu hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?

Kwa nini ushoga unaonekana kama 'dhambi maalum' na kwamba haistahili kusamehewa na binadamu?
Kwa sababu Vatican (Italia) limewataja specifically hao mashoga inawataka hao wakaanze mafunzo ya upadiri. Wanapendelewa sana hao wahuni.
 
Mimi naomba kuulizia la kizushi:
1. Mwizi hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
2. Muongo hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
3. Muuaji hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
4. Mzinzi hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
5. Mshirikina hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?
6. Anayetamani mali au mke wa mtu hawezi kuja kuwa padri, mchungaji au shehe?

Kwa nini ushoga unaonekana kama 'dhambi maalum' na kwamba haistahili kusamehewa na binadamu?
Weka wazi basi, Kwa hiyo dhambi ya Mwanaume "Kufirwa" unaifananisha na dhambi ya kusema "uongo"?
 
Wala usijifariji, wote mnaenda kuungua moto mmoja, tena mnachanganywa wasema uongo na wafirwaji
 
kmmmk yaani jitu litatoka kuliwa Yas ninakuja kusimama mbele yako eti linakuhubiria kuhusu mambo ya Mungu kheeeee hii sasa kali aisee, anyway ndiomaana huko asia wakaamua kuabudu makitu yasiyoeleweka tu maana binadamu sasa wamechoka.
 
Kanisa Katoliki la Italia limefungua milango yake kwa wanaume mashoga kujiunga na masomo ya upadre, mradi wasiendelee kupigia debe au kuunga mkono kile kinachoitwa "utamaduni wa mashoga," kulingana na miongozo mipya iliyothibitishwa na Vatican.

Miongozo hii, iliyotolewa na Shirikisho la Maaskofu la Italia na kuchapishwa mtandaoni Alhamisi, inaendelea kuzingatia umuhimu wa nadharia ya ubikira, huku ikiruhusu wanaume mashoga kujiunga na mafunzo ya upadre chini ya masharti fulani.

Sehemu maalum ya nyaraka hii ya kurasa 68 inahusu watu wenye "mwelekeo wa ushoga" wanaotaka kujiunga na seminari au kugundua mwelekeo wao wakati wa mafunzo.

"Kanisa, huku likiheshimu sana watu hao, haliwezi kuwaingiza seminary na kwenye Ordo Takatifu wale wanaofanya ushoga, wana mwelekeo wa ushoga uliojizatiti au wanaunga mkono kile kinachoitwa utamaduni wa mashoga," inasema miongozo hiyo.

Hata hivyo, nyaraka hii inasisitiza kuwa Kanisa lizingatie utu wa mgombea, likiwa na lengo la kulea mapadri wanaoweza kudumisha ubikira na celibacy kama wito wao.

View attachment 3203094View attachment 3203095
Kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom