Wanaume wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja ruksa kujiunga na Upadre

Wanaume wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja ruksa kujiunga na Upadre

Hizi ni kauli za mtu aliyeishiwa hoja katika mjadala. Mimi hoja yangu ninayoisimamia na nitakayoendelea kuisimamia ni kwamba dhambi zote ni machukizo mbele ya Mungu, hakuna dhambi nzuri hata kidogo. Lakini pia kwa msingi wa imani yangu ni kwamba binadamu anayo nafasi ya kubadilika muda wowote kwa kutubu, kuacha dhambi na kumrudia Mungu

Mathayo 21:28-32
28 Lakini mwaonaje? Mtu mmoja alikuwa na wana wawili; akamwendea yule wa kwanza, akasema, Mwanangu, leo nenda kafanye kazi katika shamba la mizabibu.
29 Akajibu akasema, Naenda, Bwana; asiende.
30 Akamwendea yule wa pili, akasema vile vile. Naye akajibu akasema, Sitaki; baadaye akatubu, akaenda.
31 Je! Katika hao wawili ni yupi aliyefanya mapenzi ya babaye? Wakamwambia, Ni yule wa pili. Basi Yesu akawaambia, Amin nawaambia, watoza ushuru na makahaba wanatangulia mbele yenu kuingia katika ufalme wa Mungu.
32 Kwa sababu Yohana alikuja kwenu kwa njia ya haki, ninyi msimwamini; lakini watoza ushuru na makahaba walimwamini, nanyi hata mlipoona, hamkutubu baadaye, ili kumwamini.
Ni wapi nimesema kuna dhambi ndogo na kubwa?? Unajishtukia neh?

Kama ushoga ni dhambi (wote tunajua ni uchafu) kwanini wanadai haki zao za kutambuliwa kwamba wao ni special sana?!

Ni wapi uliona umoja wa Wazinzi wakidai haki ya kutambuliwa rasmi?

Umoja wa majambazi umeshawaona waki host any Heist Pride parade?

Umoja wa Waongo?

Umoja wa washirikina (sio waganga wa jadi) wakidai haki ya kutambuliwa Kama binaadam wenye mahitaji maalum kiasi cha kuhitaji na kupewa upendeleo maalum?!

Kuwa Msenge haina maana kwamba wewe ni special sana kuliko wengine na haina maana dhambi yako ni ya dhahabu kiasi watu wawaogope kwamba mkibugudhiwa uchumi utayumba!
 
Kanisa Katoliki la Italia limefungua milango yake kwa wanaume mashoga kujiunga na masomo ya upadre, mradi wasiendelee kupigia debe au kuunga mkono kile kinachoitwa "utamaduni wa mashoga," kulingana na miongozo mipya iliyothibitishwa na Vatican.

Miongozo hii, iliyotolewa na Shirikisho la Maaskofu la Italia na kuchapishwa mtandaoni Alhamisi, inaendelea kuzingatia umuhimu wa nadharia ya ubikira, huku ikiruhusu wanaume mashoga kujiunga na mafunzo ya upadre chini ya masharti fulani.

Sehemu maalum ya nyaraka hii ya kurasa 68 inahusu watu wenye "mwelekeo wa ushoga" wanaotaka kujiunga na seminari au kugundua mwelekeo wao wakati wa mafunzo.

"Kanisa, huku likiheshimu sana watu hao, haliwezi kuwaingiza seminary na kwenye Ordo Takatifu wale wanaofanya ushoga, wana mwelekeo wa ushoga uliojizatiti au wanaunga mkono kile kinachoitwa utamaduni wa mashoga," inasema miongozo hiyo.

Hata hivyo, nyaraka hii inasisitiza kuwa Kanisa lizingatie utu wa mgombea, likiwa na lengo la kulea mapadri wanaoweza kudumisha ubikira na celibacy kama wito wao.

View attachment 3203094View attachment 3203095
Hata wanaojihusisha na jinsia tofauti hawaruhusiwi sembuse hawa ? Where is JamiiCheck
 
Kama ushoga ni dhambi (wote tunajua ni uchafu) kwanini wanadai haki zao za kutambuliwa kwamba wao ni special sana?!
Hao wanaodai haki zao watakujibu hilo, maana tafsiri yake ni kwamba hawana mpango wa kutubu na kuacha hiyo dhambi bali kuihalalisha. Mimi nazungumzia content ya huu uzi (kama umeisoma lakini, maana naamini wengi hawajaisoma). Msimamo wangu ni kwamba Mungu anatoa nafasi kwa binadamu yeyote kutubu na kuacha dhambi na hata kumtumikia, bila kujali ametenda dhambi gani. Kumkufuru Roho wa Bwana ndiko kumewekewa kizuizi cha toba, lakini dhambi nyingine zote zikiwemo zilizotajwa katika amri 10, binadamu ana nafasi ya kuzitubu na kuweka nia ya kuziacha
 
Kanisa Katoliki la Italia limefungua milango yake kwa wanaume mashoga kujiunga na masomo ya upadre, mradi wasiendelee kupigia debe au kuunga mkono kile kinachoitwa "utamaduni wa mashoga," kulingana na miongozo mipya iliyothibitishwa na Vatican.

Miongozo hii, iliyotolewa na Shirikisho la Maaskofu la Italia na kuchapishwa mtandaoni Alhamisi, inaendelea kuzingatia umuhimu wa nadharia ya ubikira, huku ikiruhusu wanaume mashoga kujiunga na mafunzo ya upadre chini ya masharti fulani.

Sehemu maalum ya nyaraka hii ya kurasa 68 inahusu watu wenye "mwelekeo wa ushoga" wanaotaka kujiunga na seminari au kugundua mwelekeo wao wakati wa mafunzo.

"Kanisa, huku likiheshimu sana watu hao, haliwezi kuwaingiza seminary na kwenye Ordo Takatifu wale wanaofanya ushoga, wana mwelekeo wa ushoga uliojizatiti au wanaunga mkono kile kinachoitwa utamaduni wa mashoga," inasema miongozo hiyo.

Hata hivyo, nyaraka hii inasisitiza kuwa Kanisa lizingatie utu wa mgombea, likiwa na lengo la kulea mapadri wanaoweza kudumisha ubikira na celibacy kama wito wao.

View attachment 3203094View attachment 3203095
Ina maana hao wote humo ndani wana msimamo mmoja au kuna wengine wameshinikizwa kukubaliana na jambo hilo
 
Hao wanaodai haki zao watakujibu hilo, maana tafsiri yake ni kwamba hawana mpango wa kutubu na kuacha hiyo dhambi bali kuihalalisha. Mimi nazungumzia content ya huu uzi (kama umeisoma lakini, maana naamini wengi hawajaisoma). Msimamo wangu ni kwamba Mungu anatoa nafasi kwa binadamu yeyote kutubu na kuacha dhambi na hata kumtumikia, bila kujali ametenda dhambi gani. Kumkufuru Roho wa Bwana ndiko kumewekewa kizuizi cha toba, lakini dhambi nyingine zote zikiwemo zilizotajwa katika amri 10, binadamu ana nafasi ya kuzitubu na kuweka nia ya kuziacha
Sasa kwanini mungu ajatoa nafasi kwa watu wa sodoma na gomora ili watubu ?
 
Ni mimi sielewi au vipi? Hivi inakuwaje mtu tayari ni shoga alafu aruhusiwe kujiunga upadre hapohapo atunze bikra, anatunza bikra ipo sasa?
 
Sasa kwanini mungu ajatoa nafasi kwa watu wa sodoma na gomora ili watubu ?
Hakuna mwanadamu anayeweza kumpangia Mungu kitu cha kufanya, mahali pa kufanya, muda wa kufanya au namna ya kufanya. Unachotakiwa ni kujiandaa wakati wowote kwa kutubu dhambi, kuziacha na kumtumikia kwa namna unayoweza
 
Hao wanaodai haki zao watakujibu hilo, maana tafsiri yake ni kwamba hawana mpango wa kutubu na kuacha hiyo dhambi bali kuihalalisha. Mimi nazungumzia content ya huu uzi (kama umeisoma lakini, maana naamini wengi hawajaisoma). Msimamo wangu ni kwamba Mungu anatoa nafasi kwa binadamu yeyote kutubu na kuacha dhambi na hata kumtumikia, bila kujali ametenda dhambi gani. Kumkufuru Roho wa Bwana ndiko kumewekewa kizuizi cha toba, lakini dhambi nyingine zote zikiwemo zilizotajwa katika amri 10, binadamu ana nafasi ya kuzitubu na kuweka nia ya kuziacha
Wewe jifanye umevaa miwani ya Mbao, kiufuatacho voice note mpaka uelewe!

Binaadam wote tu wadhambi kila mmoja na yake/ zake! Nyingine za kutisha nyingine kama wengine.

Ni wapi katika kipindi cha uongozi wa huyu Papa alieibua huu mjadala, umewahi kumsikia akiagiza / akishauri kuhusu Wazinzi, Majambazi, Washirikina kupewa upendeleo ndani ya mamlaka za Kanisa?

Kwamba kwa sababu wote ni wachafu basi tukubali wenzetu wenye uchafu wao (kunukishana mavi) wapewe tu upendeleo Kana kwamba wao dhambi zao ni special sana?

Hawa jamaa (LGBT whatever) wanakaribishwa kanisani kwa wale watakaotubu sawa, vipi kuhusu wenzao wanaobadiri na maumbile kabisa?

Vipi kuhusu hizi campaigns zinazoendelea dunia nzima kulazimisha (yes kulazimisha!)mataifa yenye kila aina ya jamii zenye Mila desturi na Tamaduni zao kuheshimu “haki na mahitaji “ ya Wasenge?

Kwanini nchi zisizokubaliana nao zinanyimwa mahitaji/ama kufutiwa makubaliano ya kiuchumi na kijamii?!

Kwanini wanamichezo, wanasiasa na waajiriwa wengi wamejikuta wakipoteza vyanzo vyao vya mapato kisa kusimama against LGBT na ndugu zao?

Yaani tukuamini wewe kwamba hapa Papa ametumia msingi wa Imani na Upendo kulainisha masharti ya Kanisa?!

Kwanini kwa LGBT tu?

Mbona hakuna aliewahi kufukuzwa kazi ama kulimwa vizuizi kwa kushika/kufunga/kuua majambazi? Kuuwa wezi? Kukamata madawa ya kulevya? Kukamata wauza unga?! (Hao wote ni washiriki silent wa Kanisa lakini huwasikii wakitupigia kelele eti tuwaelewe kwamba their way of sinning is so perfect that God will be in all their favors!!)

Yes God is pure, But God is conditional. God receives you the way you approach It/Him/Her.

Your free will with that if your fellow creatures is what will determine your Life here on Earth and the outcome of your judgment by your own Soul.

Kwahiyo it’s safe to say unapojipakaza mimavi yako tambua unawapaka na viumbe wenzio kwa makusudi kabisa, na hiyo ndogo dhambi kuu.
 
Hakuna mwanadamu anayeweza kumpangia Mungu kitu cha kufanya, mahali pa kufanya, muda wa kufanya au namna ya kufanya. Unachotakiwa ni kujiandaa wakati wowote kwa kutubu dhambi, kuziacha na kumtumikia kwa namna unayoweza
Lakini tuko hapa kwa sababu Papa wa Vatican Roma amethubutu kumpangia Mungu kitu cha kufanya kuhusiana na Wasenge ndani na nje ya Kanisa.

Uzuri meza inayoenda kupinduliwa wameichonga wenyewe, ubaya ni kwamba kuna wanaotumia hiyo meza wataangushwa pasipo makosa yao!

Pure Evil.
 
Unbelievable !!!! Where is the Church heading to !!!??
 
Ni wapi katika kipindi cha uongozi wa huyu Papa alieibua huu mjadala, umewahi kumsikia akiagiza / akishauri kuhusu Wazinzi, Majambazi, Washirikina kupewa upendeleo ndani ya mamlaka za Kanisa?
Ndio maana nimesema mara kadhaa kuwa naamini 80% au zaidi ya wanaocomment katika uzi huu, hawajasoma content yake. Ni wapi katika uzi huu alipotajwa Papa?

Anyway, kwa kuwa umeuliza ujumbe mbalimbali wa Papa Francis, ni kwamba almost kila siku anatoa ujumbe. Few among them za mwaka huu ni hizi:

2025

Wednesday, January 15, 2025
"The Church, in every time, is called to do what John the Baptist did: point Jesus out to the people, saying, “Behold, the Lamb of God, who takes away the sin of the world!”. He is the One Saviour! He is the Lord, humble, in the midst of sinners, but it is He, He: there is no other powerful one who comes; no, no it is He!"
| Pope Francis

Tuesday, January 14, 2025
"The life of faith consists in the wish to abide in the Lord, and thus in a continuing search for the place where he lives. This means that we are called to surpass a methodical and predictable religiosity, rekindling the encounter with Jesus in prayer, in meditating on the Word of God and in practicing the Sacraments, in order to abide with him and bear fruit thanks to him, to his help, to his grace."
| Pope Francis

Monday, January 13, 2025
"Jesus is counting on you as he counted long ago on Saint Rose of Lima, Saint Turibius, Saint Juan Macías, Saint Francisco Solano and so many others. And today he asks if, like them, you are ready to follow him [They reply: “Yes”]. Today, tomorrow, will you be willing to follow him? [They reply: “Yes”]. And within a week? [“Yes”]. Don’t be overly confident. If you are inclined to follow him, ask him to prepare your heart in order to be willing to follow him. Clear?"
| Pope Francis

Sunday, January 12, 2025
"God’s first call is to life, through which he makes us persons; it is an individual call because God does not make things in series. Then God calls us to faith and to become part of his family as children of God. Lastly, God calls us to a particular state in life: to give of ourselves on the path of matrimony, or that of the priesthood or consecrated life. They are different ways of realizing God’s design, the one he has for each of us that is always a design of love. God always calls." | Pope Francis

Saturday, January 11, 2025

Friday, January 10, 2025
"On the first day of his ministry, Jesus thus offers us his “programmatic manifesto”. He tells us that he does not save us from on high, with a sovereign decision or act of force, a decree, no: he saves us by coming to meet us and taking our sins upon himself. This is how God conquers the world’s evil: by humbling himself, taking charge of it. It is also the way that we can lift up others: not by judging, not by suggesting what to do, but by drawing near, empathizing, sharing God’s love." | Pope Francis

Thursday, January 9, 2025
"What, then, does He desire from us? He desires a great intimacy. He wants us to share with him our joys and sufferings, desires and fears, hopes and sorrows, people and situations. Let us do this, with confidence: let us open our hearts to him, let us tell him everything. Let us pause in silence before the Nativity scene to savour the tenderness of God who became near, who became flesh." | Pope Francis

Wednesday, January 8, 2025
"After this gesture of compassion by Jesus, an extraordinary thing happens: the heavens open and the Trinity is finally revealed. The Holy Spirit descends from the heavens in the form of a dove (cf. Mk 1:10) and the Father says to Jesus: “Thou art my beloved Son; with thee I am well pleased” (v. 11). God manifests himself when mercy appears. Do not forget this: God manifests himself when mercy appears, because that is his face." | Pope Francis

Tuesday, January 7, 2025
"Now, the fact that Jesus was the Word from the very beginning means that from the beginning God wants to communicate with us. He wants to talk to us. The only-begotten Son of the Father (cf. v.14) wants to tell us about the beauty of being children of God; He is “the true light” (v. 9) and wants to keep us distant from the darkness of evil; He is “the life” (v. 4), who knows our lives and wants to tell us that he has always loved them. He loves us all." | Pope Francis

FRIDAY, JANUARY 03, 2025
"Dear brother, dear sister, God became flesh to tell us, to tell you that he loves you right there, that he loves us right there, in our frailties, in your frailties; right there, where we are most ashamed, where you are most ashamed. This is bold, God’s decision is bold: He became flesh precisely where very often we are ashamed; He enters into our shame, to become our brother, to share the path of life."

THURSDAY, JANUARY 02, 2025
"This is God’s work: to come among us. If we consider ourselves unworthy, that does not stop him: he comes. If we reject him, he does not tire of seeking us out. If we are not ready and willing to receive him, he prefers to come anyway. And if we close the door in his face, he waits. He is truly the Good Shepherd."

WEDNESDAY, JANUARY 01, 2025
"This is why today, the Mother of God blesses us. And how does Our Lady bless us? By showing us her Son. She takes him in her arms and she shows him to us, and thus, blesses us. She blesses the entire Church, she blesses the whole world. As the angels sang in Bethlehem, Jesus is a “great joy that will come to all people”, he is the Glory of God and peace for mankind (cf. Lk 2:10)."
 
Endeleeni kupigana mpaka mkae sawa!

Katoliki ya Africa ijitenge vipi na western catholic ulisikia wapi ?

Ukitoa mapadri wa Jimbo wale wa mashirika mengine km Kazi ya Roho Mtakatifu, Benedict, salvatorian , sjui kapu chini hayo ni mashirika ya nje yote!

Iweje aamke akatae ukatoliki wa ulaya kienyeji tuu kisa uchoko!

Kama wapo tyr kupoteza maslahi na kutengwa na kanisa wapaze sauti tukianza na Ruwaichi na cardinal Rugambwa ili tujue kweli yao!

MIMI NGOJA NIENDELEE KUISALIMIA MIZIMU HAPA

MTAPIGANA JUU YA WAZUNGU NA WAARABU MPK LINI ?

AT LEAST HATA ISLAMIC JAPO WAPO WAAMINI WAKE WENYE MICHEZO HIYO LAKINI KAULI YA UISLAMU NAIPENDA MSIMAMO NI MMOJA TUU..... UKIKIUKA NI WEWE NA SIO UISLAMU...... UISLAMU BADO UKO VZR UKILINGANISHA NA HUKU KWETU!

MIHEMKO KWENYE COMMENT YANGU SITAKI

KARIBUNI KILINGENI TUPATE DAWA....

NISALMIE PAPA FRANCIS HAPO 😝
 
Back
Top Bottom