Wanaume wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja ruksa kujiunga na Upadre

Wanaume wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja ruksa kujiunga na Upadre

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ siombi msamaha.... utaliaa
siwezi kulia niamini.......

Kwanza Mimi ni mtu ninayekaa km umeme...

Niki switch hisia on zinakuwa ok..... Hapo hapo ni ki off...... It's over sijui Ila Niko hivyo

Sijui utanibaka vipi huku imelala ๐Ÿ˜‚
 
Celibacy katika Black 's Law Dictionary ni kuishi bila kuoa: bila kuoa,mind you,siyo kuishi bila kufanya zinaa.
Sasa sijui Kanisa linatumia definition gani ya celibacy.
Kama choko ataruhusiwa

kuongoza misa, this will certainly raise eyebrows.
 
Dah! Huu sasa umeshakuwa ni mtihani.

The state of being unmarried:
Celibacy, the state of being unmarried and, therefore, sexually abstinent, usually in association with the role of a religious official or devotee. In its narrow sense, the term is applied only to those for whom the unmarried state is the result of a sacred vow, act of renunciation, or religious conviction. 2 Dec 2024
(Imenakiliwa kutoka utafutaji wa Google).
Kwa kiswahili ni Useja.
 
Heading haipo sawa, haiendani na maelezo yako. Na mleta mada

Jina lako tu unajiita

Analog
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„mada za tope zimekua nyingi sana humu JF
 
Heading haipo sawa, haiendani na maelezo yako. Na mleta mada

Jina lako tu unajiita

Analog
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„mada za tope zimekua nyingi sana humu JF
Ni kweli mpaka zinakifu.
 
Wala usijifariji, wote mnaenda kuungua moto mmoja, tena mnachanganywa wasema uongo na wafirwaji
Unaonekana unataka dudu wewe......unataka kupandwa...uko kwenye "heat".....Njoo nikuinamishe...
 
Unaonekana unataka dudu wewe......unataka kupandwa...uko kwenye "heat".....Njoo nikuinamishe...
Upeo wa a typical Isle man. Elimu ya darasa ni muhimu sana, this gap could have been filled
 
Yesu Njoo nisaidie maana Mimi mkatoliki ,na maaskofu wangu wa huko Italia wameungana na Shetani kuleta usodoma ndani ndani ya kanisa lako, Sasa nakuomba ,ukawaguse kwa roho wako Mtakatifu waache njia mbaya wakurudie wewe Ee Bwana๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
 
Naitika: "Tunakuomba utusikie"
 
Kitendo Cha kutokukemea ushonga Bali kuwapaka mafuta sio sawa.

Hii sio kazi ya Kanisa! ... Mwili wa Kristo kwa Huduma zake 5 una jukumu na kukemea, kupinga hii ya kishoga pamoja na kuwaponya na kuwarejesha watu katika njia iliyo sahihi.

I do respect Roman Catholic ila hiii sawa
Na umeamini kuwa wameruhusu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†, we kweli chizi.
 
Back
Top Bottom