Wanaume wanaona aibu kwenda kanisani

Wanaume wanaona aibu kwenda kanisani

Kiplayer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,180
Reaction score
1,964
Ndio hivyo, ukristo umekuwa wa wanawake. Wanaume wengi kushiriki kwa asilimia kubwa haipo. Fuatilia mahudhurio kwenye shughuli zinazohusisha makanisa zikiwamo Ibada utakubali.
 
Back
Top Bottom