Unasound kama muhudumu vile!Hamna watu wanasumbua kama Wanaume wanaonunuliwa bia Bar kidogo tu“ tuitie manager wako unataka kumwibia boss wangu,mara bar gani hii wahudumu wamenuna kama wamepata msiba” Yaani matusi kibao wakati hana hela yeyote hapo...
Badilikeni mtaja*****
Hahahaaaa. LolKama kawaida thread yako haiwezi kosa neno "Wanaume"
Hahahaaa. Anajua mwenyewe Kaka mlichomkosea sababu mnaipata pata.Sijui hata tumemkosea nin?
Vipi lakin upo salama?
Aisee itabidi tumuulize vizuri tulimkosea nini,tumuombe msamaha atusamehe!Hahahaaa. Anajua mwenyewe Kaka mlichomkosea sababu mnaipata pata.
Mie niko poa kabisa.
Afadhali umenisaidia kumuita dada,nataka leo tuyamalize hapa hapa!
Hahahaaa. Haya tumsubirie.Afadhali umenisaidia kumuita dada,nataka leo tuyamalize hapa hapa!
Wewe umesha ***** na wangapi mpaka sasa?Badilikeni mtaja*****