Wanaume wanaonunuliwa bia bar ni wasumbufu sana

kritika

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
410
Reaction score
1,156
Hamna watu wanasumbua kama Wanaume wanaonunuliwa bia Bar kidogo tu“ tuitie manager wako unataka kumwibia boss wangu,mara bar gani hii wahudumu wamenuna kama wamepata msiba” Yaani matusi kibao wakati hana hela yeyote hapo...
Badilikeni mtaja*****
 
Unasound kama muhudumu vile!
 
Siku zote mwanamke anaeshinda bar huwa na akili ndogo muda wote anawaza kupewa mkuyenge kunako.
 
Back
Top Bottom