Hamna watu wanasumbua kama Wanaume wanaonunuliwa bia Bar kidogo tu“ tuitie manager wako unataka kumwibia boss wangu,mara bar gani hii wahudumu wamenuna kama wamepata msiba” Yaani matusi kibao wakati hana hela yeyote hapo...
Badilikeni mtaja*****
Nao wana heshima zao kwani wana uwezo wa
kumhamisha bosi anaenunua kwenda bar ingine kwa mbwembwe zao . Wanajua kuonge sana kana kwamba wana uchungu na pesa inayotoka mfukoni kwa bosi .