bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,689
Utakuwa baamedi wewe..!Hamna watu wanasumbua kama Wanaume wanaonunuliwa bia Bar kidogo tu“ tuitie manager wako unataka kumwibia boss wangu,mara bar gani hii wahudumu wamenuna kama wamepata msiba” Yaani matusi kibao wakati hana hela yeyote hapo...
Badilikeni mtaja*****