Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Bb usinyoe kipara wala ndevu usichinge OUnyoe kipara na ndevu uchonge O....aisee unakua kitombi balaaa
Tatizo jirani kina umbo la pentagoni. Ukinyoa para si unakuwa kitukoEti eeee. Basi jirani na wewe anza kunyoa kipara aisee. Ili upate kuwa mwaminifu kamili. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Kipara na uaminifu,hebu tuanzie kwanza kwa Zuma...nilisikia na ninaendelea kusikia kuwa wanaume wenye upara huwa waaminifu sana kwenye Mahusiano.
Nami sasa nimeamua kunyoa kipara nione pengine Nitakuwa muaminifu.
MNIOMBEE(in mkulu voice)
Hahahaaaa. Kwenye kuangalia uaminifu jirani huo ubaya wa kichwa tupa kule.Tatizo jirani kina umbo la pentagoni. Ukinyoa para si unakuwa kituko
Usipoteze muda hainaga ukwelinilisikia na ninaendelea kusikia kuwa wanaume wenye upara huwa waaminifu sana kwenye Mahusiano.
Nami sasa nimeamua kunyoa kipara nione pengine Nitakuwa muaminifu.
MNIOMBEE(in mkulu voice)
Kule majaribu mengi si hata kwa mswati unaonaga vimama vilivyo!Kipara na uaminifu,hebu tuanzie kwanza kwa Zuma...
Uaminifu ni hulka, tabia ya mtu. Si nywele za mtu.. wewe kama ni player hata kama ukinyoa ngozi yote itoke, utaendelea tu kuchepukanilisikia na ninaendelea kusikia kuwa wanaume wenye upara huwa waaminifu sana kwenye Mahusiano.
Nami sasa nimeamua kunyoa kipara nione pengine Nitakuwa muaminifu.
MNIOMBEE(in mkulu voice)
We umefanyajeHamnipi hata moyo