Wanaume wanaonyoa nywele zote(kipara)

Wanaume wanaonyoa nywele zote(kipara)

Hahahaaa. Sijawahi waza kama tabia ina uhusiano na kitu kama hicho.

We kama unanyoa kipara nyoa tu ila mwisho wa siku tabia zako zinabaki pale pale.
Ni kweli jirani. Sisi wenye vichogo tunaonyoa afro tupo nusu waaminifu nusu sio waaminifu.
 
nilisikia na ninaendelea kusikia kuwa wanaume wenye upara huwa waaminifu sana kwenye Mahusiano.
Nami sasa nimeamua kunyoa kipara nione pengine Nitakuwa muaminifu.
MNIOMBEE(in mkulu voice)
wanyoa vipara wengi ni watumiaji wa ARV..usidhan wanapenda
 
nilisikia na ninaendelea kusikia kuwa wanaume wenye upara huwa waaminifu sana kwenye Mahusiano.
Nami sasa nimeamua kunyoa kipara nione pengine Nitakuwa muaminifu.
MNIOMBEE(in mkulu voice)
Upara ni kovu.
 
Na mimi nitajaribu kunyoa kipara
Hahahaaa. Nimecheka hadi kutaka kuanguka Swahiba lol.

Sababu nilipoona huu uzi nikajikuta nataka nikutag ila nikajua hutapita huku. [emoji85]

Haya we jaribu halafu utanipa Mrejesho Swahiba. [emoji12] [emoji12]
 
Hahahaaa. Nimecheka hadi kutaka kuanguka Swahiba lol.

Sababu nilipoona huu uzi nikajukuta nataka nikutag ila nikajua hutapita huku. [emoji85]

Haya we jaribu halafu utanipa Mrejesho Swahiba. [emoji12] [emoji12]
Subiri mrejesho swahiba [emoji69]
 
Hahahahahahahaaaa wanaume wenye vipara wana akili za kipuuzi kama yule musuba.....afu inaaminika wengi ni majambazi.
 
Nawaona wanaume wanaogombea vitana na dada zao wakijisifu
 
Back
Top Bottom