Ndyoo wapo na mm pia nanyoaga sanaMhhhhh kuna kijana anae
Nyoa kipara kweli wakat huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndyoo wapo na mm pia nanyoaga sanaMhhhhh kuna kijana anae
Nyoa kipara kweli wakat huu
SawaaaUkikutongoza wa hvyo kimbia sana
AhahahhaahahhNiambie piemu[emoji23] [emoji23]
Na mimi nitajaribu kunyoa kiparaHahahaaa. Sijawahi waza kama tabia ina uhusiano na kitu kama hicho.
We kama unanyoa kipara nyoa tu ila mwisho wa siku tabia zako zinabaki pale pale.
Ni kweli jirani. Sisi wenye vichogo tunaonyoa afro tupo nusu waaminifu nusu sio waaminifu.Hahahaaa. Sijawahi waza kama tabia ina uhusiano na kitu kama hicho.
We kama unanyoa kipara nyoa tu ila mwisho wa siku tabia zako zinabaki pale pale.
wanyoa vipara wengi ni watumiaji wa ARV..usidhan wanapendanilisikia na ninaendelea kusikia kuwa wanaume wenye upara huwa waaminifu sana kwenye Mahusiano.
Nami sasa nimeamua kunyoa kipara nione pengine Nitakuwa muaminifu.
MNIOMBEE(in mkulu voice)
Ahahah kwa hiyo nywele zinaisha kwaajili ya kumeza Arvwanyoa vipara wengi ni watumiaji wa ARV..usidhan wanapenda
Mama sabrina umepewa mb.. leo kweli!Nakojoooooaaaa,ni tabia ya mtu
Sijapataa Shamma ila soon naipataaMama sabrina umepewa mb.. leo kweli!
Upara ni kovu.nilisikia na ninaendelea kusikia kuwa wanaume wenye upara huwa waaminifu sana kwenye Mahusiano.
Nami sasa nimeamua kunyoa kipara nione pengine Nitakuwa muaminifu.
MNIOMBEE(in mkulu voice)
Ooh pole sanaSijapataa Shamma ila soon naipataa
Hahahaaa. Nimecheka hadi kutaka kuanguka Swahiba lol.Na mimi nitajaribu kunyoa kipara
Eti eeee. Basi jirani na wewe anza kunyoa kipara aisee. Ili upate kuwa mwaminifu kamili. [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ni kweli jirani. Sisi wenye vichogo tunaonyoa afro tupo nusu waaminifu nusu sio waaminifu.
Subiri mrejesho swahiba [emoji69]Hahahaaa. Nimecheka hadi kutaka kuanguka Swahiba lol.
Sababu nilipoona huu uzi nikajukuta nataka nikutag ila nikajua hutapita huku. [emoji85]
Haya we jaribu halafu utanipa Mrejesho Swahiba. [emoji12] [emoji12]
Hahahaaa. Nasubiria aiseee Swahiba.Subiri mrejesho swahiba [emoji69]