Wanaume wanaopenda chipsi kudharauliwa tatizo ni nini?

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Kuna chuki ambazo hazina kichwa wala miguu juu ya sisi wanaume tunaopenda kula chips tunadharauliwa, wanatukebehi na kutudhihaki.

Swali la msingi. Tatizo ni kula chips tu au kuna mengine ya ziada? Kwa mtazamo wangu ni kuwa tunaonewa wivu.
 
Ukila chips mb.oo inalegea kama utambi. Na mwili unalegea kama kuku wa mdondo. Kula ugali muhogo. Kisanvu. Kambale nyama ya Kondoo Karanga mbichi na uji wa mtama
 
Kuna chuki ambazo hazina kichwa wala miguu juu ya sisi wanaume tunaopenda kula chips tunadharauliwa, wanatukebehi na kutudhihaki.

Swali la msingi. Tatizo ni kula chips tu au kuna mengine ya ziada? Kwa mtazamo wangu ni kuwa tunaonewa wivu.
wadada wanasema mla chips ni mvivu kunako 6x6
 
Kuna chuki ambazo hazina kichwa wala miguu juu ya sisi wanaume tunaopenda kula chips tunadharauliwa, wanatukebehi na kutudhihaki.

Swali la msingi. Tatizo ni kula chips tu au kuna mengine ya ziada? Kwa mtazamo wangu ni kuwa tunaonewa wivu.
Shida sio chipsi, kuvunjiwa yai wakati wa kukaangiwa ndio kitu tunakikataa..
 
Kuna chuki ambazo hazina kichwa wala miguu juu ya sisi wanaume tunaopenda kula chips tunadharauliwa, wanatukebehi na kutudhihaki.

Swali la msingi. Tatizo ni kula chips tu au kuna mengine ya ziada? Kwa mtazamo wangu ni kuwa tunaonewa wivu.
Miafrika bana mnawaza kula kula tuu. Na vyakula vyenyewe mnawaza kubugia na kufakamia ni vya hovyo. Ndo maana IQ zetu zina mushkel na udumavu.
 
Kwa niaba ya wala chips wenzangu,kula hatuachi na pigeni kelele za kutosha..Endeleeni na fikra potofu kuwa kula ugali ndiyo kila kitu na mkaangalie je kila mtu Duniani anakula huo ugali kama mnavyotaka kutuaminisha..Europeans,Asians,Americans na wengineo..Tusiwe close minded na kuwa confined kwenye zone moja and lets think outside the box...

Raisi wa wanaume wala chips Tanzania
 
Hizo nchi zote ulizitaja hasa ulaya na amerika watu wake wanaongoza kuwa na unene uliopitiliza plus presha na magonjwa mengine ya hovyo
 
Kuna chuki ambazo hazina kichwa wala miguu juu ya sisi wanaume tunaopenda kula chips tunadharauliwa, wanatukebehi na kutudhihaki.

Swali la msingi. Tatizo ni kula chips tu au kuna mengine ya ziada? Kwa mtazamo wangu ni kuwa tunaonewa wivu.
Mimi nakwambia Kuna watu hawali hayo madona sijui ugali na wanaishi vema mzee ulaya masuala ya ugali wengi hawayajui lakini watu wanapiga kazi sho sho
Alafu wanaodiss hayo yote unakuta Hana uhakika wa kula Milo mitatu.
 
Back
Top Bottom