Wanaume wanaopenda chipsi kudharauliwa tatizo ni nini?

Wanaume wanaopenda chipsi kudharauliwa tatizo ni nini?

🤣🤣🤣🤣🤣mrembo vipii?🤣🤣umepandisha majini?hahahahahaha
Aiii pata uhondo wa ushuz mbrrrr mbrrrr mbrrrr mbrrrr mbrrrr mbrrrr mbrrrr mbrrrr mbrrrr mbrrrr mbrrrr mbrrrr aiii.
 
Ubora wa chakula katika kuzalisha nishati ya mwili hupimwa na calories

Calories ni nini? Ni kiasi cha nishati inayotolewa wakati mwili wako unapovunja (kumeng'enya na kunyonya) chakula.

Kadiri chakula kinavyokuwa na calories nyingi, ndivyo nishati zaidi inaweza kutoa kwa mwili wako

Calories ya chips ni 536
Calories ya ugali ni 398
Calories ya wali ni 130
 
Mwanaume unayejitambua na kengele zako utakulaje chips sasa
 
Ukila chips mb.oo inalegea kama utambi. Na mwili unalegea kama kuku wa mdondo. Kula ugali muhogo. Kisanvu. Kambale nyama ya Kondoo Karanga mbichi na uji wa mtama
Vyakulap00a vya hali ya chini hivi.
Kama hamna uwezo wa kula biriani, chipsi kuku,pilau mbuzi. Msivitukane.
Kama wewe ni lege lege hata ukila zege hutakaza.
 
Kuna chuki ambazo hazina kichwa wala miguu juu ya sisi wanaume tunaopenda kula chips tunadharauliwa, wanatukebehi na kutudhihaki.

Swali la msingi. Tatizo ni kula chips tu au kuna mengine ya ziada? Kwa mtazamo wangu ni kuwa tunaonewa wivu.
Nongwa zao tu! Chips hutumika kama mboga
 
Back
Top Bottom