BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Ukila chips mb.oo inalegea kama utambi. Na mwili unalegea kama kuku wa mdondo. Kula ugali muhogo. Kisanvu. Kambale nyama ya Kondoo Karanga mbichi na uji wa mtamaKuna chuki ambazo hazina kichwa wala miguu juu ya sisi wanaume tunaopenda kula chips tunadharauliwa, wanatukebehi na kutudhihaki.
Swali la msingi. Tatizo ni kula chips tu au kuna mengine ya ziada? Kwa mtazamo wangu ni kuwa tunaonewa wivu.
wadada wanasema mla chips ni mvivu kunako 6x6Kuna chuki ambazo hazina kichwa wala miguu juu ya sisi wanaume tunaopenda kula chips tunadharauliwa, wanatukebehi na kutudhihaki.
Swali la msingi. Tatizo ni kula chips tu au kuna mengine ya ziada? Kwa mtazamo wangu ni kuwa tunaonewa wivu.
Shida sio chipsi, kuvunjiwa yai wakati wa kukaangiwa ndio kitu tunakikataa..Kuna chuki ambazo hazina kichwa wala miguu juu ya sisi wanaume tunaopenda kula chips tunadharauliwa, wanatukebehi na kutudhihaki.
Swali la msingi. Tatizo ni kula chips tu au kuna mengine ya ziada? Kwa mtazamo wangu ni kuwa tunaonewa wivu.
Miafrika bana mnawaza kula kula tuu. Na vyakula vyenyewe mnawaza kubugia na kufakamia ni vya hovyo. Ndo maana IQ zetu zina mushkel na udumavu.Kuna chuki ambazo hazina kichwa wala miguu juu ya sisi wanaume tunaopenda kula chips tunadharauliwa, wanatukebehi na kutudhihaki.
Swali la msingi. Tatizo ni kula chips tu au kuna mengine ya ziada? Kwa mtazamo wangu ni kuwa tunaonewa wivu.
Hizo nchi zote ulizitaja hasa ulaya na amerika watu wake wanaongoza kuwa na unene uliopitiliza plus presha na magonjwa mengine ya hovyoKwa niaba ya wala chips wenzangu,kula hatuachi na pigeni kelele za kutosha..Endeleeni na fikra potofu kuwa kula ugali ndiyo kila kitu na mkaangalie je kila mtu Duniani anakula huo ugali kama mnavyotaka kutuaminisha..Europeans,Asians,Americans na wengineo..Tusiwe close minded na kuwa confined kwenye zone moja and lets think outside the box...
Raisi wa wanaume wala chips Tanzania
Tunawapenda ndo mana tunawatahadharishachuki binafsi
Wana evidence?Huenda chips zinapunguza uwezo wa "upelekaji moto"
mrembo wasamehe tuu.wanakuudhi pole achana nao😘Miafrika bana mnawaza kula kula tuu. Na vyakula vyenyewe mnawaza kubugia na kufakamia ni vya hovyo. Ndo maana IQ zetu zina mushkel na kudumaa.
Tatizo mlikimbia darasa hujui hata virutubishi vinavyopatikana kwenye viazi ndio hivyo vinapatikana kwenye ugaliMwanaume utakulaje mboga tu bila ugali? Maana viazi huwa vinapikwa kwenye mchuzi.
Wakuonewa huruma ni wale wanaopenda kula sumu kuvuMnaonewa huruma sio wivu
Mkuu we uliyajuaje hayo??Ukila chips mb.oo inalegea kama utambi. Na mwili unalegea kama kuku wa mdondo. Kula ugali muhogo. Kisanvu. Kambale nyama ya Kondoo Karanga mbichi na uji wa mtama
Usiamini kila unachosikia.wadada wanasema mla chips ni mvivu kunako 6x6
Mimi nakwambia Kuna watu hawali hayo madona sijui ugali na wanaishi vema mzee ulaya masuala ya ugali wengi hawayajui lakini watu wanapiga kazi sho shoKuna chuki ambazo hazina kichwa wala miguu juu ya sisi wanaume tunaopenda kula chips tunadharauliwa, wanatukebehi na kutudhihaki.
Swali la msingi. Tatizo ni kula chips tu au kuna mengine ya ziada? Kwa mtazamo wangu ni kuwa tunaonewa wivu.